Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhubiri kutoka Nigeria kushuhudia Magufuli akiapishwa

Mhubiri mashuhuri kutoka Nigeria TB Joshua ni miongoni mwa wageni mashuhuri watakaohudhuria sherehe ya kumuapisha John Pombe Magufuli kuwa rais mpya wa Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mhubiri maarufu duniani TB Joshua Wa Nigeria atua Dar Es Salaam kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa

Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria  ametua jijini Dar es salaam leo  tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.

Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho  Kikwete  kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWS: TB JOSHUA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA DKT MAGUFULI AKIAPISHWA

Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria  ametua jijini Dar es salaam leo  tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho  Kikwete  kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kushuhudia Rais Nyusi akiapishwa

Rais mteule wa Msumbiji, Jacinto Filipe NyusiRAIS mpya wa Msumbiji Jacinto Filipe Nyusi anaapishwa leo baada ya kuibuka na ushindi wa asilimia 57 za kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka jana.

 

9 years ago

GPL

TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA, MAGUFULI AKIAPISHWA DAR

HATIMAYE, Mwangalizi Mkuu wa Kanisa la Scoan (Synagogue Church of All Nations), Mtume na Nabii Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ ametua Bongo juzi akitokea nchini Nigeria, maalum kumshuhudia Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiapishwa leo. Mchungaji ‘TB Joshua’ akisalimiana na rais Kikwete. TB Joshua aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...

 

9 years ago

Bongo5

Museveni, Kagame na Mugabe walijisikiaje kuhudhuria Magufuli akiapishwa?

297e1f95-8e22-4857-9db2-436b4848ca9c

Watu wengi tumekuwa tukifikiri kwamba kwanini Marais hawa hawaoni aibu pale ambapo wenzao wanaoingia madarakani na kuondoka wao wakiwa wamebakia palepale kwenye hayo madaraka?

_86532078_0a3754dc-e05a-477f-a135-1541670339ca

Inawezekana wamekuwa wanafunzi ambao hawawezi kuelewa somo wakidhani ya kuwa wao ni marais wa kudumu kwenye nchi zao. Kitu kingine ambacho inawezekana hawaelewi kwanini Tanzania marais wanaondoka madarakani bila kuwa ving’anga’nizi kama wao?

Viongozi hawa wameshindwa kutengeneza mfumo wa kuwawezesha wengine kuweza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhubiri wa Kiislamu ahukumiwa kifo Nigeria

Mahakama moja ya Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mhubiri anayetuhumiwa kukufuru kwa kumtukana Nabii Muhammad.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mhubiri aliyeteka roho za wengi Nigeria

Mhubiri TB Joshuaanadai amewaponya watu wakiwemo vipofu na waathiriwa wa HIV na hata kutabiri kifo cha Michael Jackson.

 

9 years ago

GPL

T.B JOSHUA ATUA DAR KUSHUHUDIA KUAPISHWA DK. MAGUFULI

Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli alimpokea Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua Uwanja wa ndege Dar jioni hii. Mhubiri huyo aliyekuja na watu 40 kwa ndege yake mwenyewe, amekuja kushuhudia Dkt Magufuli akiapishwa. Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli wakibadilishana mawazo na Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua mara baada ya...

 

9 years ago

Mwananchi

TB Joshua, marais wanane Afrika kushuhudia kuapishwa Magufuli

Marais wanane wa Afrika wamethibitisha kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John Magufuli itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani