TBC kikaangoni kwa kurusha harusi ‘live’
Serikali imeliagiza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoa maelezo ya kina baada ya kurusha matangazo ya moja kwa moja sherehe za harusi kwa zaidi ya saa mbili, jambo lilihojiwa na wananchi maeneo mbalimbali hasa katika mitandao ya jamii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Sakata la TBC kurusha harusi live: Mtaalam wa habari na aliyefanya kazi hapo afanunua kama ni kosa!
![tbc.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tbc.-300x194.jpg)
Serikali imeliagiza shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoa maelezo ya kina baada ya kurusha matangazo ya moja kwa moja sherehe za harusi kwa zaidi ya saa mbili, jambo lilihojiwa na wananchi maeneo mbalimbali hasa katika mitandao ya jamii.
Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kupata malalamiko mengi kwa kile kilichokuwa kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1 cha shirika hilo linaloendeshwa kwa ruzuku kutoka Serikalini.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Habari, Utamaduni,...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
TBC kurusha ‘live’ Kombe la Dunia
SHIRIKA la Utangazaji la Taifa (TBC), linatarajia kurusha moja kwa moja ‘live’ mashindano ya Kombe la Dunia kwa mechi zote 64 zitakazochezwa nchini Brazil. Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s72-c/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s640/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
NICE MOHAMED ‘MTUNISI’: Msanii aliyekacha kurusha ndege kwa kunogewa uigizaji
TASNIA ya filamu ni miongoni mwa sekta ambazo zimefanikiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana wa Kitanzania katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosaidia kupunguza tabia za vijana kukaa vijiweni. Hata...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-kZS20DUu8-8/Vd38vc6FJxI/AAAAAAABUdg/BfTegII9Mfo/s72-c/CHOPA%2BCUF%2B2.jpg)
MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI KWA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-kZS20DUu8-8/Vd38vc6FJxI/AAAAAAABUdg/BfTegII9Mfo/s640/CHOPA%2BCUF%2B2.jpg)
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...