Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL Arusha yasherehekea siku yao ya familia

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Arusha juzi wameungana na familia zao katika tamasha la familia( Family Day),zilizofanyika katika viwanja vya TGT, vilivyopo eneo la Kisongo,nje kidogo ya Arusha.
Aidha katika tamasha hilo wafanyakazi hao na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu,kuvuta kamba,mpira wa mezani,kucheza muziki pamoja na michezo mbalimbali ya watoto.
Kwa mujibu wa Mratibu wa tamasha hilo Optaty Minja,alisema kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

siku ya familia ya Chuo cha Ufundi Arusha yafana

  Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika kulia)akiwa na wafanyakazi wenzake kwenye mazoezi ya viungo katika viwanja vya chuo hicho. J.Makamu Mkuu wa Chuo,Utawala na Fedha,Dk Erick Mgaya akishangilia baada ya timu yake(Idara ya Umeme)kutwaa ubingwa wa mpira wa miguu dhidi ya AutoMech.  Kukimbiza Kuku. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Wauguzi Washerekea siku yao leo jijini Arusha

 .Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo. Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha leo

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL

 Mkulima wa Shayiri akionesha moja ya Ghala lake (Stoo) kwa ajili ya kuhifadhia zana mbalimbali za kilimo ikiwamo utunzaji wa pembejeo, ambapo jengo hilo amelijenga kutokana na fedha za Shayiri.

Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.
Mkulima wa Shayiri wilayani Monduli Meporoo Losulu akionesha Trekta...

 

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao

FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na  Daktari wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao

 

Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.

Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu  wa Tanzania  hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka  mashada ya maua kwenye kaburi la  mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAFANIKISHA SIKU YA SHAYIRI MONDULI

 Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri TBL Dk. Basson Bennie akitoa elimu kwa wakulima na wadau mbalimbali namna sahihi ya kuandaa, kupanda zao la Shayiri wakati wa Siku ya Mkulima wa Shayiri iliyofanyika juzi wilayani Monduli mkoani Arusha. Afisa Ugani Nyanda za Juu Kusini, Makambako, Iringa Njombe, Rukwa na Mbeya Paul Antapa mwenye fulana nyekundu akimkaribisha Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoani Arusha Jowika Kasunga wakati wa Siku ya Wakulima wa Shayiri iliyofanyika Monduli Juu pembeni yao ni...

 

11 years ago

Michuzi

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.  Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani