Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL Plc kushirikiana na WFP na FtMA kuwezesha wakulima wa mtama na kuwapatia masoko nchini Tanzania.

Kampuni ya TBL Plc imekubaliana kushirikiana na taasisi yaFarm to Market Alliance (FtMA) na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) upande wa Tanzania kuwezesha wakulima wadogowadogo wa zao la mtama nchini.Ushirikiano umeanza kwa mradi wa majaribio ambapo TBL Plc imekubali kununua mtama utakaozalishwa na wakulima wadogo wapatao 1,400 kutoka mikoa ya Dodoma na Manyara.Chini ya ushirikiano huo wakulima wa mtama wanawezeshwa kupatiwa mbegu,bima ya mazao,eimu kuhusiana kilimo cha mtama,huduma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKULIMA DODOMA, WASIFU UFANISI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) KATIKA KUWEZESHA USAFIRISHAJI WA MAZAO NA UAGIZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO.

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya Nane nane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya. Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na...

 

11 years ago

Michuzi

NBC TANZANIA ILIVYOMKARIBISHA NCHINI MTENDAJI MKUU WA BARCLAYS PLC, ANTHOY JENKINS .

 Mtendaji Mkuu wa Barclays PLC, Anthony Jenkins akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC Tanzania wakati wa ziara yake nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Bi. Mizinga Melu.  Mtendaji Mkuu wa Barclays PLC, Anthony Jenkins (kulia) akipozi kwa picha na Rachel Mwalukasa mmoja wa wafanyakazi aliyemkabidhi tuzo kwa kuwa mfano wa kuigwa katika suala la kujitolea binafsi katika kuisaidia jamii. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kutafutia wakulima masoko

>Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amesema Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuwatafutia wakulima masoko na pia kuongeza Sh45 bilioni kwa ajili ya kununua mazao yao.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana- Wakulima watafutiwe masoko

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amehimiza Serikali kuangalia namna ya kusaidia wananchi kutafuta masoko kwa ajili ya mazao.

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA BILION MOJA KUWEZESHA WAKULIMA WA KATANI KUPATA MATREKTA



Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa moja ya matrekta hayo  Greyson Nyari, Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge  Mkoa wa Tanga kwenye shamba la mkonge la wakulima wadogo wadogo la  'Mwelya Sisal Estate' la Korogwe. Katikati ni  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara - Filbert Mponzi.
Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa akikabidhi mkopo uliotolewa kwa mkopo na Benki ya NMB wa matrekta  11 na matrela  yake 22 yenye thamani ya sh. Bilioni  moja, kwa Vyama Vinne vya ushirika vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Masoko kwa wakulima bado kitendawili

Kilimo ni sekta mama kwa uchumi wa Tanzania, inaajiri karibu asilimia 80 ya Watanzania, wengi wao wakiishi vijijini. Mbali na ajira, kilimo ndiyo chanzo kikuu cha chakula kwa taifa na huchangia asilimia 50 ya Pato la Taifa na asilimia 75 ya mauzo ya nje.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma Mhe: Athuman Mwenda akipata maelezo ya kina jinsi ya uandaaji wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima ili kufanikisha kauli mbiu ya mwaka huu yenye ujumbe wa ‘Matokeo Makubwa Sasa’-Kilimo ni Biashara, vilevile Mamlaka inatekeleza mkakati wa Taifa wa KILIMO KWANZA.Maelezo hayo yalikuwa yakitolewa na kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang’a katika banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa kwenye maonesho ya NaneNane 2014, viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakulima Dodoma, wasifu Ufanisi wa TPA katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo

PIC 1

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.

PIC 2

Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani