Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kutafutia wakulima masoko

>Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amesema Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuwatafutia wakulima masoko na pia kuongeza Sh45 bilioni kwa ajili ya kununua mazao yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana- Wakulima watafutiwe masoko

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amehimiza Serikali kuangalia namna ya kusaidia wananchi kutafuta masoko kwa ajili ya mazao.

 

11 years ago

Mwananchi

Masoko kwa wakulima bado kitendawili

Kilimo ni sekta mama kwa uchumi wa Tanzania, inaajiri karibu asilimia 80 ya Watanzania, wengi wao wakiishi vijijini. Mbali na ajira, kilimo ndiyo chanzo kikuu cha chakula kwa taifa na huchangia asilimia 50 ya Pato la Taifa na asilimia 75 ya mauzo ya nje.

 

5 years ago

Michuzi

TBL Plc kushirikiana na WFP na FtMA kuwezesha wakulima wa mtama na kuwapatia masoko nchini Tanzania.

Kampuni ya TBL Plc imekubaliana kushirikiana na taasisi yaFarm to Market Alliance (FtMA) na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) upande wa Tanzania kuwezesha wakulima wadogowadogo wa zao la mtama nchini.Ushirikiano umeanza kwa mradi wa majaribio ambapo TBL Plc imekubali kununua mtama utakaozalishwa na wakulima wadogo wapatao 1,400 kutoka mikoa ya Dodoma na Manyara.Chini ya ushirikiano huo wakulima wa mtama wanawezeshwa kupatiwa mbegu,bima ya mazao,eimu kuhusiana kilimo cha mtama,huduma...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Masoko ya fedha, dhamana za serikali na faida zake

ASILIMIA kubwa ya watanzania hawafahamu maana ya masoko ya fedha, soko la dhamana za serikali na faida zake, jambo linalowafanya wengi kuwekeza mamilioni ya fedha kwenye biashara ambazo mwisho wa...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuwapa maeneo, masoko wachimbaji wadogo

 

Wachimbaji wadogo wadogo katika machimbo ya bati ya Nyaruzumbula wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameilalamikia Serikali kwa kuwanyima maeneo ya kuchimbia na kutoa leseni kwa wachimbaji wakubwa.

Aidha wachimbaji hao wamesema wanaathirika na bei ndogo inayotumika kununulia madini hayo kutoka kwa madalali ambao hunufaika baada ya kuuza madini hayo kwa bei kubwa kwa wateja wakubwa.

Machimbo ya madini ya bati yaliyopo katika kijiji cha Nyaruzumbula wilayani Kyerwa Mkoani Kagera ,ambayo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yaeleza mipango ya kuendeleza masoko jijini Dar es Salaam

IMG_4458

Afisa Uhusiano Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa serikali wa kuendelea kuimarisha Masoko katika Jiji la Dar es Salaam, Wakati wa Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Manispaa hiyo Bw. Athuman Mbelwa.

Na Frank  Mvungi- Maelezo

Serikali yaimarisha masoko 18 katika jiji la Dar es salaam katika kukabiliana na Ongezeko la Mahitaji ya Wananchi.

Hayo...

 

5 years ago

Michuzi

WAVUNAJI WA MISITU KATIKA MASHAMBA YA SERIKALI KUPATIWA MKATABA WA MIAKA MITATU, MTAJI WA BIASHARA NA MASOKO YA MBAO

KATIKA  kile alichoeleza kuwa ni kuimarisha sekta ya misitu ili iweze kutoa mchango unaostahili kwa jamii na taifa kwa ujumla, Kamishna Mhifadhi wa Misitu, Profesa Dos Santos Silayo amesema Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS)umeingia  makubaliano ya miaka mitatu ya upatikanaji wa malighafi ya miti, kutoa mitaji na kuwatafutia masoko ya mbao wafanyabiashara wanaovuna misitu katika mashamba ya miti ya serikali.

Prof. Silayo amesema hayo jana mjini Dodoma katika mkutano na wadau wa sekta ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

 

10 years ago

Mtanzania

Wafugaji, wakulima waibebesha mzigo Serikali

wafugajiNa Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
JAMII ya wakulima na wafugaji wamedai kutokumalizika kwa migogoro ya ardhi kati ya jamii hizo, inatokana na viongozi wa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao.
Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa wakulima kutoka Wilaya ya Kilosa, Airu Mustafa katika kongamano la mwisho la Kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Alisema suluhisho pekee la tatizo hilo, ni kutowapa nafasi watu wanaotaka uongozi katika uchaguzi mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani