Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yaonya kuhusu mitandao ya bure

MAMLAKA ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA yaonya vyombo vya habari

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imetoa onyo kali  kwa  kituo cha Independent Television (ITV),  Star TV na Radio Free Africa kwa kutangaza maudhui yanayokiuka kanuni za utangazaji...

 

9 years ago

Mwananchi

Basata yaonya wanaotumia vibaya mitandao

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa siku saba kwa wasanii, wamiliki wa wavuti, na wale wenye akaunti kwenye mitandao ya kijamii kuondoa nyimbo zote au maudhui yenye mwelekeo unaoenda kinyuma na maadili, matusi, kashfa, kejeli na udhalilishaji wa watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa na kitaifa.

 

10 years ago

Mwananchi

TCRA yawaonya viongozi wa dini na mitandao ya kijamii

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka viongozi wa dini kutumia nafasi kukemea juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwa waumini wao na kuelimisha madhara yanayoweza kusababishwa na teknolojia hiyo katika jamii.

 

10 years ago

GPL

BASATA, TCRA WAWATAKA WASANII KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungy (kulia) akiongea na wadau wa Sanaa (hawako pichani) wakati akiwasilisha mada kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii kwenye Jukwaa la Sanaa lililofanyika Jumanne ya wiki hii makao makuu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ilala, Sharif Shamba. Kushoto ni Mwanasheria wa BASATA Deogratius Nchimbi.
Mwanasheria wa Baraza la Sanaa la...

 

11 years ago

Ykileo

TCRA YATOA ONYO KWA WANAOTUMIA MITANDAO KUCHAFUA WENGINE

Dr. Raynold Mtungahema Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria.
Onyo hilo limetolewa jana mjini Arusha na Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA, Dkt, Raynold Mtungahema, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa maswali ya wanahabari kuhusu kuenea kwa picha chafu zinazowadharirisha watu mbalimbali kwenye mitandao.


Nilipata kufafanua yakua mtandao au kifaa...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA.CCC:VIJANA NDIYO WAHANGA WAKUBWA WA MITANDAO YA KIJAMII

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Arusha Day wakiwa wamekusanyika tayari kwa kuwasikiliza Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Mawasiliano Tanzania TCRA.CCC walipotembelea shuleni hapo kuwapa Elimu.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Arusha Day wakifuatilia kwa makini kile kinachoelezwa na Baraza la Ushauri wa Huduma za Mawasiliano Tanzania TCRA .CCCAfisa Uhamasishaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania(TCRA.CCC)Hillary Tesha. 









Mary Shao Katibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YAWAPIGA MSASA WASANII JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA MAWASILIANO

Naibu Mkurungenzi wa Masuala ya watumiaji Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Issac Mruma akizungumza na Baadhi ya wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongofleva) (hawapo pichani) juu ya matumizi ya mitandao ya kijamii, huku akiwataka kujilinda dhidi ya Mbinu za kitapeli,wizi na udanganyifu kupitia mitandao ya Mawasiliano, wakati wa semima ya siku moja iliyofanyika leo kwenye Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jiji Dar es Salaam.Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA, TCRA WATAKA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WASANII

Na Mwandishi Wetu
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) mapema wiki hii wamelaani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wasanii wakati wa programu ya Jukwaa la Sanaa iliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati akiwasilisha mada iliyohusu ‘Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii’, Meneja mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy alisema kuwa wasanii ni kioo cha jamii hivyo kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandao ya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiaji wa simu anapojiunga na vifurushi vya muda wa maongezi, sms na data kwa pamoja. Baadhi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani