Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basata yaonya wanaotumia vibaya mitandao

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa siku saba kwa wasanii, wamiliki wa wavuti, na wale wenye akaunti kwenye mitandao ya kijamii kuondoa nyimbo zote au maudhui yenye mwelekeo unaoenda kinyuma na maadili, matusi, kashfa, kejeli na udhalilishaji wa watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa na kitaifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA VIBAYA MITANDAO

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu. Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri. Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaotumia vibaya simu kukiona

SERIKALI imeahidi kuja na sheria itakayozuia matumizi mabaya ya mitandao ya simu yanayohusisha usambazaji wa picha za ngono, wizi na taarifa zingine zinazochangia kubomoa maadili ya Mtanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

IOC yaonya wanariadha wanaotumia madawa

Rais wa kamati ya Olimpiki duniani,Thomas Bach ameonya kuwa, IOC haitamhurumia mwanariadha yeyote aliyeshinda nishani ya dunia kupitia njia isiyo halali.

 

11 years ago

Ykileo

TCRA YATOA ONYO KWA WANAOTUMIA MITANDAO KUCHAFUA WENGINE

Dr. Raynold Mtungahema Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria.
Onyo hilo limetolewa jana mjini Arusha na Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA, Dkt, Raynold Mtungahema, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa maswali ya wanahabari kuhusu kuenea kwa picha chafu zinazowadharirisha watu mbalimbali kwenye mitandao.


Nilipata kufafanua yakua mtandao au kifaa...

 

9 years ago

GPL

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU NA MAADILI KWENYE KAMPENI

Katibu Mkuu Mtendaji Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), Geofrey Ngereza. BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa. Lugha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRCA: Msitumie vibaya mitandao ya kijamii

WATANZANIA wamehimizwa kuacha matumizi mabaya ya mitandao ya jamii ikiwemo kuweka picha za utupu, kusababisha ugomvi, kuwahimiza wengine kwa mambo yasiyo ya kweli, kupotosha jamii na kuvuruga maendeleo. Akizungumza, Meneja...

 

11 years ago

Habarileo

Wanaotukana, kutumia vibaya mitandao kukiona

WIZARA ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia imeamua kudhibiti wanaotumia vibaya mitandao kwa kuweka picha zisizo na maadili kwa jamii, wanaotumia lugha ya matusi na wanaoiba kupitia mitandao.

 

10 years ago

Habarileo

TCRA yaonya kuhusu mitandao ya bure

MAMLAKA ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha.

 

9 years ago

Dewji Blog

BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa

_DSC3283

Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.

Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.

Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani