TECNO ilivyosherehekea Siku ya Wapendanao na wateja wake
![](https://1.bp.blogspot.com/-bL1taSPTxeM/Xku3NESb7vI/AAAAAAAC76g/WVhuRtsYopci3irYeXb2yq_a_GofSc1wQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200218-WA0016.jpg)
Katika kusherehekea siku ya Wapendanao, kampuni ya simu za mkononi TECNO ilisherehekea siku hii maarufu ya Valentine na wateja wake wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans wake kutoka kurasa zake za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu mbalimbali maalum kwaajili ya kuvinjari mwishoni mwa wiki.Tukio hili maalum liliandaliwa kwaajili ya kuwakutanisha watu wawili wa jinsia tofauti pasipo kufahamiana yaani blind date. Kabla ya kupelekwa katika hoteli ambayo iliandaliwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-25a9z9DzOQ8/VOJKTU1PXCI/AAAAAAAAqFs/9i8MSwTXC1U/s72-c/B2.jpg)
ECOBANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE SIKU YA WAPENDANAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-25a9z9DzOQ8/VOJKTU1PXCI/AAAAAAAAqFs/9i8MSwTXC1U/s1600/B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HaFpNnZsVNs/VOJKUGZwNlI/AAAAAAAAqF0/o8p8gbovDdQ/s1600/V3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.
Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .
Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA RESOLUTION YAANDA SIKU MAALUM YA FAMILIA KWA WATEJA WAKE
Hii ni mara ya kwanza kampuni hiyo imeaanda siku hii maalum kwa ajili ya wateja wake na kulikuwa na burudani ya kutosha kutoka bendi ya Borabora, DJ maalum na vichekesho kutoka MC Pilipili. Kulikuwa pia na michezo mbalimbali ya watu wazima na watoto kama vile: soka, dance limbo na tug of war. Wateja waalikwa walipata chakula kwani kulikuwa na...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Siku ya Wapendanao; mambo muhimu ya kuyafahamu
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Umeshajua utoke vipi siku ya wapendanao?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dbrPPOOGelDel7eaQ1n22hAg8gY*Oo-fJgNq7fdPsw4V0tt1U4M-3EPBfBnrwsXSfr6-HV-ml3r8Dn17JUa3fPg/url.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EzW97n0q1C2VVwqM4pYBeOABRM*IcjkRe05fwaiNR80KJjrGoivjhz2uH1kGkIqvY3K1LmhQs18Vtqhl0h7X8zhLo71ldyzP/GPL_Logo_FinalWEWB.gif?width=400)
GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA SIKU YA WAPENDANAO
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Shyrose Bhanji kuwafariji wasiojiweza,wagonjwa siku ya Wapendanao
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji anatarajia kusherekea na watu wasiojiweza pamoja na kutembelea watu mbalimbali wanaosumbuliwa na magonjwa waliopo hospitalini ili kuonyesha upendo kwao.
Shyrose alibainisha hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, wakati wa kujibu maswali kadhaa ya marafiki na jamaa kufuatia post yake ailiyoitupia kuwaomba fans hao kupiga nao...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Tusifanye ‘madudu’, yapo mazuri ya kufanya siku ya wapendanao