Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


#TECNOOwnTheStage: Zooccu wa Tanzania ayaaga mashindano

7

Ilikuwa ni weekend nyingine yenye pigo kwa Tanzania kwenye shindano la TECNO Own The Stage, show ya kwanza kwa mwaka 2016 iliyoruka Jumapili, January 3.

7

Washiriki walitumbuiza nyimbo za baadhi ya makundi maarufu ya muziki duniani. Bahati mbaya Zooccu wa Tanzania alikuwa mmoja wa washiriki watatu walioyaaga mashindano.

Aliimba wimbo wa kundi la dancehall la Jamaica, T.O.K. uitwao ‘Footprints’ lakini alishindwa kuwashawishi majaji.

Mtanzania mwingine, Nandy anayeonekana kuwa kipenzi cha wengi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

#TecnoOwnTheStage: Kechu wa Tanzania ayaaga mashindano (Video)

Sara-Jackson8

Shindano la Tecno Own The Stage jana Jumapili liliendelea katika episode yake ya tano. Shindano hilo lilishuhudia Mtanzania mwingine, Sarah Jackson aka Kechu akiyaaga mashindano baada ya kushindwa kuwashawishi majaji.

Sara-Jackson8
Kechu

Kechu alitumbuiza wimbo wa Vanessa Mdee, Nobody But Me lakini wakati anaanza alijikuta akiachwa na mashairi na kuudakia wimbo mbele. Hilo kwa mujibu wa jaji Yemi Alade lilikuwa ni kosa kubwa hasa kwakuwa mashindano hayo ni karaoke na hivyo kusoma mashairi ni jambo la...

 

9 years ago

Bongo5

#TECNOOwntheStage: Banye wa Tanzania aondolewa

Banye

Episode ya nne ya shindano la kusaka vipaji vya kuimba kwa mfumo wa karaoke linalohusisha nchi tatu, TECNO Own the Stage imeruka jana Jumapili kupitia Africa Magic Showcase.

Banye
Washiriki walipokuwa wakisubiri kujua hatma yao

Episode hiyo ilijumuisha washiriki wa kundi la 3 waliotakiwa kuimba nyimbo za kiafrika. Ikiwa na ushindani mkali, washiriki wa Tanzania waliopanda jukwaani ni pamoja na Banye, Mary, Jeff Mduma na Zooccu.
Hata hivyo Tanzania imepata pigo baada ya mshiriki wake Banye...

 

9 years ago

Bongo5

#TecnoOwnTheStage: Jeff wa Tanzania atolewa (Video)

Tecno

Tanzania imeendelea kuwa vibonde kwenye shindano la Tecno Own The Stage linaloendelea nchini Nigeria baada ya mshiriki wa tatu kuyaaga mashindano hayo.

Awamu hii ni Jeff ndiye aliyeyaaga mashindano hayo baada ya kushindwa kuwaridhisha majaji watatu wa shindano hilo.

Kenya bado ina washiriki wote watano walioingia. Tanzania na Nigeria zimebakiza washiriki wawili kila moja.

Hata hivyo mshiriki wa Tanzania, Nandy ndiye ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuwakosha watazamaji...

 

9 years ago

Bongo5

Mfahamu Jaji Bien wa #TECNOOwntheStage

BIEN (1)

Bien-Aime Baraza ni muimbaji mkuu wa kundi maarufu la Kenya, Sauti Sol. Pamoja na kuimba anapiga gitaa pia. Uandishi wake wa mashairi unakubalika na wengi.

Bien

Tangu kundi la Sauti Sol lianze mwaka 2006, Bien-Aime ameendelea kuwa na mchango mkubwa ikiwa pamoja na kushiriki kutengeneza album tatu za kundi hilo, Mwanzo (2008), Sol Filosofia (2011) na Live and Die in Afrika (2015).

Ameandika pia nyimbo kwa wasanii wengine likiwemo kundi la Elani, Amos & Josh na Wendy Kimani.

Mwaka huu ameungana...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama Episode 8 ya #TecnoOwnTheStage

12346092_1646035942321370_1206370583_n

Tazama episode ya nane ya show ya Tecno Own the Stage hapa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Episode 5 ya #TecnoOwntheStage ni noma, icheck hapa

12353195_176592696027845_397528666_n

Tunajua una mambo mengi na upo busy na mishe mishe za kutafuta mkwanja na hivyo unajikuta ukipishana na show hii kali kwenye TV yako. Usihofu, unaweza kuiangalia yote kwenye Youtube. Icheck hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kechu azungumzia alichojifunza kwenye #TecnoOwnTheStage

Sara-Jackson8

Kechu ni miongoni mwa washiriki wa Tanzania waliotoka kwenye shindano la Tecno Own The Stage linaloendelea nchini Nigeria. Alipita kwenye studio za Bongo5 kutueleza alichojifunza huko na kipi kinafuata kwenye muziki wake.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani