Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TETESI: Eti Shilole hakwenda ubelgiji kufanya shoo kama alivyodai. Adaiwa kupelekwa kula bata na mzee mmoja mwenye pesa ya kutosha

<span 1.6em;"="">Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi wa mambo wametutonya kuwa jambo hili si kweli bali mrembo huyu amepelekwa nchini ubeligiji kula bata tu na mzee mmoja hivi mwenye hela zake za kutosha, na show ilikuwa kama njia ya kuzuga wananchi tu ili mpango wake huo usijulikane kirahisi hasa na mpenzi wake Nuh mziwanda ambaye ameachwa nchini bila kujua nini kinaendelea.

WACHUNGUZI...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

SHILOLE KUFANYA SHOO UBELGIJI JUMAMOSI HII

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole afungiwa na Basata kwa mwaka mmoja kufanya sanaa


Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka...

 

9 years ago

Global Publishers

Jerome kula bata jukwaani Yanga

Sina-JeromeNa Nicodemus Jonas

KIUNGO Jerome Sina anayefanya majaribio Yanga, ataendelea kubaki katika klabu hiyo pengine hadi katika usajili wa Juni mwakani ndipo jina lake liidhinishwe acheze Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Awali Yanga ilimpokea Sina kwa majaribio huku ikipiga hesabu za kumsajili kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika lakini timu hiyo haikulijumuisha jina lake kwenda Caf.

Badala yake klabu hiyo imepeleka majina ya nyota wake saba wa kigeni na wengine wazawa ili wacheze michuano hiyo...

 

9 years ago

Global Publishers

Julio atoa ruksa wachezaji kula bata

JulioKihwelu.jpgKocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.

Martha Mboma, Dar es Salaam

BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wake kwenda mapumziko.

Mwadui ambayo inashika nafasi ya tano ikiwa na pointi 22 nyuma ya Simba ambao wana alama 24, ikiwa ni msimu wake wa kwanza baada ya kushuka miaka kadhaa iliyopita mchezo wake wa mwisho ilitoka sare ya bao 1-1 na vijana hao wa...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KULA BATA NA BENZEMA RIHANNA AREJEA NYUMBANI!

Staa wa Pop, Rihanna. Los Angeles, Marekani
BAADA ya kula ‘bata’ na mwanasoka kutoka Real Madrid, Karim Benzema,staa wa Pop, Rihanna ameamua kurejea nyumbani kwake. Juzikati, Rihanna alinaswa katika Uwanja wa Ndege wa LAX pande za Los Angeles akiwa ndani ya suruali ya kijeshi na jaketi jeusi tayari kupanda ndege kuelekea kwake, New York.Rihanna 27,alilipotiwa kuwa katika uhusiano na Benzema ambapo hivi karibuni...

 

10 years ago

Bongo5

Unataka kula bata na Akon jijini New York? Soma hapa

Ni kama zali vile.. Piga 0901002233 na unaweza kwenda majuu na kula bata na Akon jijini New York! #AirtelTraceStar

 

10 years ago

Vijimambo

DALLAS WE ACHA TU NI KULA BATA MPAKA KUKU WANAONA WIVU

 Wadau wakiwa wamekutana kwenye mgahawa wa Africa Fusion uliopo Dallas, Texas kupata menyu siku ya Jumamosi July 4, 2015 Wadau wakipata picha ya pamoja ndani ya mgahawa wa Africa Fusion. Andrew(kulia) akipaya picha na Mpwa. Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma siku ya Jumapili July 5, 2015. Wadau wa Dallas wakipata picha ya pamoja. kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani