Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 27.06.2020: Guendouzi, Hart, Forster, Pereira, Ronaldinho

Mkufunzi wa Arsenal amekataa kutoa hakikisho kwamba Matteo Guendouzi atasalia katika klabu hiyo msimu ujao kufuatia ripoti kwamba kiungo huyo wa kati wa Arsenal na raia wa Ufaransa anataka kuondoka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 18.02.2020: Sterling, Guendouzi, Smalling, Werner, Soumare

Raheem Sterling, 25, kusalia Manchester City licha ya klabu hiyo kupigwa marufuku kushiriki michuano ya Ulaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 26.02.2020: Lingard, Pereira, Grealish, Aubameyang, Guardiola

Rais wa klabu ya Juventus Andrea Agnelli amesema klabu inataka kumchukua kocha wa Manchester City Pep Guardiola.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 09.04.2020: Coutinho, Rodriguez, Grealish, Hart, Anderson, Willian

Chelsea wapo katika mazungumzo ya kutaka kumsajili kiungo wa Barcelona na Brazili Philippe Coutinho, 27.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 28.06.2020: Sancho, Kepa, Havertz, Ronaldinho, Koulibaly, Rabiot

Borussia Dortmund wanaamini winga wao Muingereza Jadon Sancho atasalia katika klabu hiyo, kwani hawajapokea ombi lolote la kutaka kumnunua mchezaji huyo. (Sport Buzzer, via Goal).

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 15.05.2020

David Silva mwenye umri wa miaka 34, kwa Manchester City unakamilika Juni 30 lMkataba wa David Silva mwenye umri wa miaka 34, kwa Manchester City unakamilika Juni 30 lakini Mhispania huyo anayecheza safu ya kati,yuko tayari kuongeza mkataba huo hadi mwisho wa msimu, kabla ya kufunganya virago. (Times - subscription required)Manchester United wamekuwa wakimsaka Schalke na Rabbi Matondo na huenda wakamnunua mchezaji huyo wa miaka 19, wakishindwa kumsainisha mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England, Jadon Sancho, 20. (Manchester Evening News)Mchezaji Dries Mertens...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 20.03.2020

Manchester United imeomba kusaini mkataba na mshambuliaji Mbrazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, kutoka Barcelona. (Mundo Deportivo)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 03.04.2020:Wilson, Aubameyang, Ceballos

Mshambuliaji wa Bournemouth Callum Wilson, 28, amesema hastahili kuhusishwa na ligi kubwa kama ya England kutokana na namna uchezaji wake duni msimu huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 17.04.2020: Bellingham, Grealish, Rodriguez, Brozovic

Wakala wa mshambuliaji wa Real Madrid na Colombia James Rodriguez, 28, amewasiliana na Manchester United kuhusu uwezekano wa uhamisho wa nyota huyo msimu huu. (Sport via Metro)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 22.05.2020: Umtiti, Koulibaly, Pjanic, Haaland, Rabiot

Barcelona wamepunguza bei ya kumuuza beki wao wa kati Samuel Umtiti wakati huu ambapo klabu za Manchester United na Arsenal zinamnyatia mchezaji huyo. (Sport - in Spanish)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani