Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.05.2020: Ozil, Ceballos, Todibo, Gomes, Vinicius, Mahrez
Mchezaji nyota wa Arsenal Mesut Ozil, 31, hataondoka klabu hiyo msimu huu na badala yake atakamilisha mwaka mmoja uliosalia katika mkataba wake na Gunners . (Fanatik, via Football London)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 26.05.2020: Allan, Todibo, Henderson, Coutinho, Icardi
Everton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa Brazil. (Il Mattino - in Italian)
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.03.2020: Mahrez, Umtiti, Dembele, Telles, Martinez
Manchester City itazuia uhamisho wa winga wa Algeria Riyad Mahrez, 29, wa kujiunga na Paris St-Germain msimu wa joto. (Goal)
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.03.2020: Maddison, Willian, Coutinho, Lovren, Ceballos
Liverpool hawana mpango wa kumsajili tena kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho.
5 years ago
BBCSwahili05 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 5.5.2020: Werner, Pogba, Camavinga, Partey, Ozil, Neymar
Klabu ya Uturuki ya Fenerbahce inaripotiwa kuwa katika mipango ya kumsajili kiungo wa Arsenal Mesut Ozil
5 years ago
BBCSwahili16 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 16.05.2020: Jesus, Sane, Kroos, Weghorst, Vinicius, Torreira
Real Madrid bado wana nia ya kumnunua Erling Braut Haaland na watamfuatilia mshambuliaji huyo wa miaka 19- leo Jumamosi wakati Borussia Dortmund watarejea uwanjani katika ligi kuu ya Ujerumani.
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 15.03.2020: Euro 2020, Mahrez, Aubameyang, Bailey, Kondogbia, Neymar, Mane
Huenda Uefa ikaahirisha Euro 2020 hadi Desemba ili kutoa fursa kwa Ligi ya Premier na mashindano mengine ya vilabu kumalizika baada ya kutokea kwa janga la Corona.
5 years ago
BBCSwahili07 May
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 7.5.2020: Ighalo, Gomes, Kurzawa, Raschica, Bakayoko
Liverpool na Man City wanavutiwa na kiungo Mbelgiji Aster Vranckx,17, anayechezea KV Mechelen.
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 14.03.2020: Liverpool, Jota, Gomes, Martinez, Cherki, Giroud
Huenda Liverpool ikachukua taji la ligi ya Premier licha ya kwamba michuano imeahirishwa.
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 26.03.2020: Ibrahimovic, Smalling, Ceballos
Mshambuliaji wa Sweden Zlatan Ibrahimovic anayechezea AC Milan na mchezi wa Paris St-Germain na Uruguay Edinson Cavani uenda wakasajiliwa Leeds United dirisha la uhamisho wa wachezaji lilipofunguliwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania