Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 26.05.2020: Allan, Todibo, Henderson, Coutinho, Icardi
Everton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa Brazil. (Il Mattino - in Italian)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.05.2020: Ozil, Ceballos, Todibo, Gomes, Vinicius, Mahrez
Mchezaji nyota wa Arsenal Mesut Ozil, 31, hataondoka klabu hiyo msimu huu na badala yake atakamilisha mwaka mmoja uliosalia katika mkataba wake na Gunners . (Fanatik, via Football London)
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang
Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 17.06.2020: Willian, Sancho, Bale, Allan, Silva, Dembele, Werner
Manchester United imeonesha nia ya kumtaka Willian, Everton ikiendeleza azma yake ya kumsaka mchezaji wa Napoli Allan na mengine mengi.
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.03.2020: Maddison, Willian, Coutinho, Lovren, Ceballos
Liverpool hawana mpango wa kumsajili tena kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho.
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 28.04.2020: Pogba, Lingaard, Sancho, Dembele ,Coutinho, Kean
Manchester United wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, na kiungo wa kati wa England Jesse Lingard, 27, kumnunua Sancho. (Sun)
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.02.2020: Messi, Sancho, Werner, Jesus, Icardi, Kai Havertz,
Timo Warner asema huenda hayupo tayari kujiunga na Liverpool licha ya kuisifu kuwa "timu nzuri zaidi duniani."
5 years ago
BBCSwahili02 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.05.2020: Jimenez, Werner, Dembele, Henderson, Willian
Mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa itakuwa vigumu kukataa ofa kutoka kwa klabu za Uhispania Real Madrid na Barcelona. (Express)
5 years ago
CCM Blog19 May
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 19.05.2020
![Gonzalo Higuain](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/E33E/production/_112347185_higu.jpg)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionGonzalo Higuain
Juventus wanaweza kuuza wachezaji kadhaa akiwemo kiungo wa Bosnia Miralem Pjanic, 30 na mshambuliaji wa Argentina Gonzalo Higuain, 32, msimu huu kama sehemu ya sera mpya ya kifedha ili kuisaidia klabu kukabiliana na atahri za kiuchumi zilizosababishwa na janga la corona. (Daily Mail)Kiungo wa Bayer Leverkusen Kai Havertz anapaswa kukataa nafasi ya kwenda Liverpool na badala yake ajiunge na Borussia Dortmund, anashauri mchezaji wa...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 14.02.2020: Dembele, Henderson, Mbappe, Messi, Grealish, Martinez, Carroll
Pep Guardiola amedai kwamba Manchester City huenda ikamfuta kazi iwapo watashindwa kuilaza Real Madrid katika kombe la mabingwa Ulaya. (Guardian)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania