Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 19.05.2020

Gonzalo Higuain
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionGonzalo Higuain
Juventus wanaweza kuuza wachezaji kadhaa akiwemo kiungo wa Bosnia Miralem Pjanic, 30 na mshambuliaji wa Argentina Gonzalo Higuain, 32, msimu huu kama sehemu ya sera mpya ya kifedha ili kuisaidia klabu kukabiliana na atahri za kiuchumi zilizosababishwa na janga la corona. (Daily Mail)Kiungo wa Bayer Leverkusen Kai Havertz anapaswa kukataa nafasi ya kwenda Liverpool na badala yake ajiunge na Borussia Dortmund, anashauri mchezaji wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMANNE 26.05.2020

Allan Saint-MaximinHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESEverton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa Brazil. (Il Mattino - in Italian)The Toffees pia wamewasilisha ombi la $25m kwa Barcelona kumnunua beki wa Ufaransa Jean -Claire Todibo ,20, ambaye kwa sasa anahudumu kwa mkopo katika klabu ya Schalke nchini Ujerumani. (Mail)Manchester United kumuongezea kandarasi kipa wa England Dean HendersonHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionManchester United kumuongezea kandarasi kipa wa England Dean...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 26.05.2020: Allan, Todibo, Henderson, Coutinho, Icardi

Everton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa Brazil. (Il Mattino - in Italian)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.03.2020: Maddison, Willian, Coutinho, Lovren, Ceballos

Liverpool hawana mpango wa kumsajili tena kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho.

 

5 years ago

BBCSwahili

tetesi za soka Ulaya Jumanne 07.04.2020: Sancho, Martinez, Traore, Lingard, Giroud

Barcelona wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka klabu ya Inter Milan lakini wanakabiliana na ushindani mkali kutoka kwa Real Madrid na Manchester City. (Marca)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 21.04.2020: Kane, Sancho, Mbappe, Partey, Aubameyang

Wacheza kamari wanaipigia chapuo zaidi United kumsaini Kane pamoja na Sancho,20.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.03.2020: Mahrez, Umtiti, Dembele, Telles, Martinez

Manchester City itazuia uhamisho wa winga wa Algeria Riyad Mahrez, 29, wa kujiunga na Paris St-Germain msimu wa joto. (Goal)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 18.02.2020: Sterling, Guendouzi, Smalling, Werner, Soumare

Raheem Sterling, 25, kusalia Manchester City licha ya klabu hiyo kupigwa marufuku kushiriki michuano ya Ulaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 19.05.2020: Havertz, Higuain ,Martinez, Koulibaly, Silva, Lazaro

Wolves wameongeza mkataba wa mlinda mlango wa kiingereza John Ruddy,33, kwa mwaka mmoja zaidi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 5.5.2020: Werner, Pogba, Camavinga, Partey, Ozil, Neymar

Klabu ya Uturuki ya Fenerbahce inaripotiwa kuwa katika mipango ya kumsajili kiungo wa Arsenal Mesut Ozil

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani