Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA kufungua ofisi kanda ya kusini

 Mkurugenzi mkuu  wa TFDA, Hiiti Sillo (katikati), akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Halima Dendegu (wa kwanza kulia), katika ziara yake ya  kikazi mkoani Mtwara ikiwa ni harakati za awali za TFDA kufungua ofisi ya Kanda ya Kusini kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi. Kushoto ni Mfamasia wa mkoa wa Mtwara Bw. Musa Nasoro.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete kufungua mkutano Kanda ya Afrika keshokutwa

Rais Jakaya KikweteMKUTANO wa Kanda ya Afrika unaohusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi, utafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kuanzia keshokutwa na utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete.SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.


Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza Ewura kufungua ofisi mikoani

BARAZA la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limesema mwaka huu wa fedha linatarajia kufungua ofisi katika ngazi ya mikoa ili huduma zake ziwafikie watumiaji wa huduma...

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar kufungua ofisi ya utalii India

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeamua kufungua ofisi maalumu nchini India itakayofanya kazi ya kujitangaza kimataifa na kutafuta masoko ya utalii kwa lengo la kuiongezea tija na uchumi wake .

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kufungua ofisi ya TPA Lubumbashi

SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), imesifu hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA), kwamba ni ya kizalendo na inayothibitisha uhusiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo.

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika

Facebook kwa mara ya kwanza barani Afrika wamefungua ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi kibiashara na kwa wateja wao barani Afrika ukianzia nchini Afrika ya Kusini. Facebook ikiwa imemteua msimamizi wa bara la Afrika, Nunu Ntshingila, ofisi hiyo ikiwa Melrose Arch, Johannesburg. Watu karibu ya milioni 7.1 wanatumia mtandao wa Facebook nchini Nigeria zaidi ya Afrika […]

 

11 years ago

Habarileo

NACTE yafungua ofisi tano za kanda

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ( NACTE), imefungua ofisi tano za kanda, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara ya kuwekeza katika eneo la usimamizi wa sekta ya elimu nchini kuongeza ufanisi na kufikia Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA JIONI YA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA KESHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo,tayari kwa ufunguzi Kongamano la uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa,linaotarajiwa kuanza kesho kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TTCL YAUNGANISHA OFISI NA KANDA ZA MSD KWENYE MKONGO

Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akionesha orodha ya wateja wanaopata huduma ya mkongo toka kampuni hiyo kwenye tableti yake, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL kwenye hafla ya kukabidhi mradi wa huduma ya mkongo kwa Bohari ya Dawa nchini (MSD) leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akionesha orodha ya wateja wanaopata huduma ya mkongo toka kampuni hiyo kwenye tableti yake, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL kwenye hafla ya kukabidhi mradi wa huduma ya mkongo kwa Bohari ya Dawa nchini (MSD) leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Cosmas Mwaifwani akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi wa huduma za mkongo kwa ofisi za Bohari ya Dawa Tanzania inayotolewa na kampuni ya TTCL. Ofisi za Kanda za MSD zimeunganishwa na Makao Makuu na huduma za mkongo wa mawasiliano ili kufanya kazi zake kwa haraka na ufanisi zaidi. Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Cosmas Mwaifwani akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi wa huduma za mkongo kwa ofisi za Bohari ya Dawa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani