Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika

Facebook kwa mara ya kwanza barani Afrika wamefungua ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi kibiashara na kwa wateja wao barani Afrika ukianzia nchini Afrika ya Kusini. Facebook ikiwa imemteua msimamizi wa bara la Afrika, Nunu Ntshingila, ofisi hiyo ikiwa Melrose Arch, Johannesburg. Watu karibu ya milioni 7.1 wanatumia mtandao wa Facebook nchini Nigeria zaidi ya Afrika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia

Umeshawahi kujiuliza kwanini muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo huwa haachi kuvaa kofia kila anapoonekana? Ipo sababu ya kufanya hivyo. Ne-Yo ambaye yupo nchini Kenya kushiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa, alikutana na swali la huwa anaficha kitu gani chini ya kofia yake? Alianza kujibu kwa utani “Nilipokuwa mdogo, nilipata ajali mbaya sana-Natania” akaendelea […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook yafungua Ofisi Afrika kusini

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini.

 

10 years ago

Michuzi

FACEBOOK YAFUNGUA OFISI AFRIKA KUSINI

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini ikiwa ndio makao makuu.

Mwanadada Nunu Ntshingila ndiye atakae ongoza ofisi hiyo itakayo jikita katika kutafuta njia mbali mbali za kuongeza ushirikiano na wafanya biashara wa barani humo.


Tayari watumiaji wa facebook barani Afrika ni milioni 120, ofisi hiyo mpya inalenga kuongeza idadi ya watumiaji wake nchini Kenya, Nigeria na Afrika Kusini.


Nunu Ntshingila ndiye mkurugenzi mkuu wa ofisi hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook kufungua huduma mpya

Mtandao wa facebook umethibitisha kwamba unafungua huduma yake ya messenger kwa wajenzi

 

9 years ago

Bongo5

Umewahi kujiuliza kwanini album za Adele, ‘19’, ‘21’ na ‘25’ zina majina ya namba? Ifahamu sababu

Adele 25

Adele Laurie Blue Adkins, anayefahamika zaidi kwa jina lake la kwanza ni muimbaji kutoka Uingereza ambaye ameshatoa album tatu mpaka sasa.

Adele 25

Kuna kitu kimoja ambacho binafsi nilijiuliza na kuamua kufuatilia, kuhusu majina yake ya album zake zote tatu kuwa namba. Album ya kwanza aliita ’19’, iliyofata inaitwa ’21’, na hii mpya ya mwaka huu inaitwa ’25’, hizi namba zina maana gani?

Jibu ni kwamba namba ambazo Adele amekuwa akizitumia kama majina ya album zake ni umri wake.

Adele-19

Wakati anaanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza Ewura kufungua ofisi mikoani

BARAZA la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limesema mwaka huu wa fedha linatarajia kufungua ofisi katika ngazi ya mikoa ili huduma zake ziwafikie watumiaji wa huduma...

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar kufungua ofisi ya utalii India

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeamua kufungua ofisi maalumu nchini India itakayofanya kazi ya kujitangaza kimataifa na kutafuta masoko ya utalii kwa lengo la kuiongezea tija na uchumi wake .

 

10 years ago

Michuzi

TFDA kufungua ofisi kanda ya kusini

 Mkurugenzi mkuu  wa TFDA, Hiiti Sillo (katikati), akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Halima Dendegu (wa kwanza kulia), katika ziara yake ya  kikazi mkoani Mtwara ikiwa ni harakati za awali za TFDA kufungua ofisi ya Kanda ya Kusini kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi. Kushoto ni Mfamasia wa mkoa wa Mtwara Bw. Musa Nasoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani