Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FACEBOOK YAFUNGUA OFISI AFRIKA KUSINI

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini ikiwa ndio makao makuu.

Mwanadada Nunu Ntshingila ndiye atakae ongoza ofisi hiyo itakayo jikita katika kutafuta njia mbali mbali za kuongeza ushirikiano na wafanya biashara wa barani humo.


Tayari watumiaji wa facebook barani Afrika ni milioni 120, ofisi hiyo mpya inalenga kuongeza idadi ya watumiaji wake nchini Kenya, Nigeria na Afrika Kusini.


Nunu Ntshingila ndiye mkurugenzi mkuu wa ofisi hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Facebook yafungua Ofisi Afrika kusini

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini.

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika

Facebook kwa mara ya kwanza barani Afrika wamefungua ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi kibiashara na kwa wateja wao barani Afrika ukianzia nchini Afrika ya Kusini. Facebook ikiwa imemteua msimamizi wa bara la Afrika, Nunu Ntshingila, ofisi hiyo ikiwa Melrose Arch, Johannesburg. Watu karibu ya milioni 7.1 wanatumia mtandao wa Facebook nchini Nigeria zaidi ya Afrika […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Facebook yafungua tena kipengele cha usalama

Mtandao wa facebook umefungua tena kipengele chake cha usalama kufuatia mlipuko m'baya wa bomu lililowauawa takriban watu 32 kaskazini mashariki mwa mji wa Yola nchini Nigeria.

 

11 years ago

Habarileo

NACTE yafungua ofisi tano za kanda

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ( NACTE), imefungua ofisi tano za kanda, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara ya kuwekeza katika eneo la usimamizi wa sekta ya elimu nchini kuongeza ufanisi na kufikia Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

11 years ago

Habarileo

BBC yafungua ofisi Dar es Salaam

SHIRIKA la Utangazaji la Uingereza, kupitia Idhaa ya Kiswahili imefungua ofisi zake hapa nchini zitakazotumika kuendesha shughuli zake mbalimbali kikiwemo kipindi cha Amka na BBC pamoja na kuendesha tovuti ya BBC Swahili.

 

10 years ago

Bongo5

Clouds Media International yafungua ofisi Jamaica

Clouds media International yenye makao yake makuu Abu Dhabi, imefungua ofisi mpya huko Kingston Jamaica zitakazohudumia ukanda wa Caribbean na kufungua fursa za kibiashara kwa kampuni tanzu za Clouds Media. Ufunguzi wa ofisi mpya nchini Jamaica unakuja ikiwa hata mwaka mmoja haujapita toka Clouds Media International ilipofungua ofisi zake Abu Dhabi. Mkurugenzi mtendajib wa Clouds […]

 

11 years ago

Mwananchi

BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

>Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), limefungua ofisi zake jijini hapa kwenye Jengo la Tangaza, Mikocheni, zenye vifaa vya kisasa vilivyogharimu Dola 1 milioni za Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA YAFUNGUA OFISI LUSAKA ZAMBIA

Tarehe 29 Juni 2015, Mamlaka ya Bandari Tanzania imefungua rasmi Ofisi nchini Zambia. Ofisi hizo zimefunguliwa katika Jiji la Lusaka.


Dhumuni kubwa la Mamlaka ya Bandari kufungua ofisi hii Lusaka ni baada ya kuwepo malalamiko kwa upande wa Zambia ambaye ni mteja wake mkubwa ya kuwepo ukiritimba wa utoaji wa mizigo yao. Hivyo Mamlaka ikaona ni vema kuja kufungua ofisi hapa Lusaka.


Sherehe za ufunguzi wa ofisi hii ulihudhuriwa na Mhe Dkt. Charles Tizeba Naibu Waziri wa Uchukuzi na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya Drive Dentsu yafungua ofisi zake Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa Drive Dentsu, Mr Cheriff Tabet (kushoto)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofisi yao Dar es Salaam. Kulia kwake ni Meneja Uendelezaji wa Biashara na Masoko Mapya, Rami El Khalil.
Mkurugenzi Mkuu wa Drive Dentsu, Mr Cheriff Tabet (katikati)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofisi yao Dar es Salaam. Kulia kwake ni Meneja Uendelezaji wa Biashara na Masoko Mapya, Rami El Khalil, na kushoto ni Meneja Mkuu wa Drive Dentsu Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani