Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Drive Dentsu yafungua ofisi zake Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa Drive Dentsu, Mr Cheriff Tabet (kushoto)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofisi yao Dar es Salaam. Kulia kwake ni Meneja Uendelezaji wa Biashara na Masoko Mapya, Rami El Khalil.
Mkurugenzi Mkuu wa Drive Dentsu, Mr Cheriff Tabet (katikati)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofisi yao Dar es Salaam. Kulia kwake ni Meneja Uendelezaji wa Biashara na Masoko Mapya, Rami El Khalil, na kushoto ni Meneja Mkuu wa Drive Dentsu Tanzania,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Drive Dentsu yatua Dar

KAMPUNI ya Drive Dentsu inayojihusisha na masuala ya utengenezaji wa matangazo, imefungua ofisi zake mpya jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada za kusogeza huduma zake kwa wateja wake katika...

 

11 years ago

Habarileo

BBC yafungua ofisi Dar es Salaam

SHIRIKA la Utangazaji la Uingereza, kupitia Idhaa ya Kiswahili imefungua ofisi zake hapa nchini zitakazotumika kuendesha shughuli zake mbalimbali kikiwemo kipindi cha Amka na BBC pamoja na kuendesha tovuti ya BBC Swahili.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni Resolution Insurance yafungua tawi jipya Kariakoo,jijini Dar

Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha. Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo,Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo,...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR

 Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583.  Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

BBCSwahili

BBC yazindua ofisi mpya Dar es Salaam

Idhaa ya kiswahili ya BBC imezindua rasmi studio zake mjini Dar es Salaam kwa mbwe mbwe na haiba kuu.

 

11 years ago

Habarileo

NACTE yafungua ofisi tano za kanda

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ( NACTE), imefungua ofisi tano za kanda, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara ya kuwekeza katika eneo la usimamizi wa sekta ya elimu nchini kuongeza ufanisi na kufikia Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

Michuzi

FACEBOOK YAFUNGUA OFISI AFRIKA KUSINI

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini ikiwa ndio makao makuu.

Mwanadada Nunu Ntshingila ndiye atakae ongoza ofisi hiyo itakayo jikita katika kutafuta njia mbali mbali za kuongeza ushirikiano na wafanya biashara wa barani humo.


Tayari watumiaji wa facebook barani Afrika ni milioni 120, ofisi hiyo mpya inalenga kuongeza idadi ya watumiaji wake nchini Kenya, Nigeria na Afrika Kusini.


Nunu Ntshingila ndiye mkurugenzi mkuu wa ofisi hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook yafungua Ofisi Afrika kusini

Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini.

 

11 years ago

Mwananchi

BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

>Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), limefungua ofisi zake jijini hapa kwenye Jengo la Tangaza, Mikocheni, zenye vifaa vya kisasa vilivyogharimu Dola 1 milioni za Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani