Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF plans to groom Rising Stars dream teams

U-17 players who were selected to join the Airtel Rising Stars dream teams might have a chance to represent the country in the coming Tokyo Olympics in 2020.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TFF yaweka msisitizo Airtel Rising Stars

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars kwa viongozi wa mikoa iliyofanyika leo (Julai 7, 2015) jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti soka la vijana wa TFF Ayoub Nyenzi na Kushoto ni Mwenyekiti msaidizi soka la vijana wa TFF Khalid Abdallah.Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Salim Madadi akiongea wakati wa wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars kwa viongozi wa mikoa iliyofanyika leo (Julai 7, 2015) jijini Dar es...

 

10 years ago

TheCitizen

Use Rising Stars finals to spot talents, TFF urged

The ministry of Information, Youth, Culture and Sports has called on the Tanzania Football Federation and other stakeholders to use the ongoing U-17 Airtel Rising Stars finals to realise more potential talents.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL RISING STARS MBEYA

Ofisa Elimu wa Jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.… ...

 

10 years ago

TheCitizen

Morogoro RC opens Airtel Rising Stars

Morogoro Regional Commissioner honourable Rajabu Rutengwe opened the U-17 Airtel Rising Stars in Morogoro yesterday and called on regional football association and the Tanzania Football Federation (TFF) to pay special attention to youth programmes.

 

10 years ago

TheCitizen

Rising Stars tournament gets underway in Mwanza

Nyamagana District Commissioner Baraka Konisaga has reiterated the significance of youth football programmes and called on aspiring starlets to understand that they have the obligation to help the country snap mediocrity on the international stage.

 

10 years ago

GPL

DC WA NYAMAGAMA AFUNGUA AIRTEL RISING STARS MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akikagua timu wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana. Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akiongea wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza jana. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga jana Jumapili (Agosti 15) alifungua mashindano ya Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza na kuwambia vijana kuwa wanalo jukumu la kubadilisha matokeo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA

 Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodhawa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katikamichuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Starsmkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika janakatika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.  Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Evergreen Linda Shilla baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel Rising Stars 2014 yazinduliwa Dar

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, jana imezindua rasmi msimu wa nne wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS), yanayotarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani