Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF YAKUBALI UENYEJI KAGAME CUP

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, leo hii imekubali kuwa wenyeji wa  michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya Vilabu maarufu kama CECAFA Kagame Cup.
CECAFA ambao ndio wamiliki wa mashindano haya watatoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki na wakipokea uthibitisho wa ushiriki wao watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo.
Michuano hii inatarajiwa kuafanyika nchini kuanzia tarehe 11 Julai mpaka 02 Agosti 2015.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Tanzania yakubali uenyeji Kagame Cup

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu inayojulikana kama Kagame Cup.

Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ambao ndio wamiliki wa mashindano haya na hutoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki. Watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo baade mwezi huu au mapema mwezi ujao.

Afisa habari wa TFF, Baraka Kizuguto amesema uamuzi wa...

 

10 years ago

TheCitizen

TFF confirms hosting Kagame Cup

The Tanzania Football Federation (TFF) has confirmed that the 2015 Cecafa Club Championship (Kagame Cup) will take place in the country.

 

10 years ago

TheCitizen

TFF needs hefty package to host Kagame Cup

The Tanzania Football Federation (TFF) needs $300,000 (approximately Sh600 million) to host this year’s regional club championship, Kagame Cup, scheduled to take place here in July.

 

10 years ago

Michuzi

KAGAME CUP

 Kikosi cha timu ya Khartoum ya Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo. Gor Mahi inaongoza kwa magoli 3-1. (Picha na Francis Dande) Wachezaji wa timu ya Khartoum wakishangilia bao. Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao. Golikipa wa timu ya Gor Mahia, Boniface Oluochakiokoa moja ya hatari langoni mwake.Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kagame ‘Cup’ kufanyika Dar

Michuano ya Kombe la Kagame imepangwa kufanyika nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi Juni huku Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likiwa kwenye mazungumzo ya mwisho na wadhamini wa michuano hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO KAGAME CUP

Kundi A
TIMUPWDLGDPTS1Khartoum2200662Gor Mahia2200363Young Africans FC2101234KMKM3102-235Telecom3003-90Kundi B
TIMUPWDLGDPTS1APR3300492AlShandy3111043LLB AFC3021-124Heegan3012-31Kundi C
TIMUPWDLGDPTS1Azam FC2200362KCC FC2101033Malakia2101-134Adama City2002-20

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Raia Tanzania

Azam bingwa Kagame Cup

TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao  2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.

Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani