Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yakubali uenyeji Kagame Cup

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu inayojulikana kama Kagame Cup.

Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ambao ndio wamiliki wa mashindano haya na hutoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki. Watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo baade mwezi huu au mapema mwezi ujao.

Afisa habari wa TFF, Baraka Kizuguto amesema uamuzi wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TFF YAKUBALI UENYEJI KAGAME CUP

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, leo hii imekubali kuwa wenyeji wa  michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya Vilabu maarufu kama CECAFA Kagame Cup.
CECAFA ambao ndio wamiliki wa mashindano haya watatoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki na wakipokea uthibitisho wa ushiriki wao watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo.
Michuano hii inatarajiwa kuafanyika nchini kuanzia tarehe 11 Julai mpaka 02 Agosti 2015.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji Kagame Cup

Tanzania imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu - Kagame Cup.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA WAPIGWA CHINI UENYEJI WA AFCON 2017

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuwa Tanzania haitaweza kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika- AFCON 2017 kwa kuwa haijawahi kuandaa fainali zozote za vijana Afrika. Fainali hizo ni zile za vijana wenye umri chini ya miaka 17 na 20.
Hivyo, TFF inaelekeza nguvu zote katika kuandaa Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka U17 mwaka 2019.
Tunapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

CAF YAIPA TANZANIA UENYEJI FAINALI ZA U17


Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika -CAF leo hii limeipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika ya vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
Uenyeji huu ni hatua muhimu sana kwa Tanzania katika kukuza soka la vijana na kwa hatua hii Tanzania itacheza moja kwa moja fainali hizi. 
Katika kuandaa kikosi bora cha kushiriki fainali hizi Tanzania, mwezi Juni mwaka huu TFF itaandaa mashindano ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 13 na wachezaji bora wa mashindano haya...

 

10 years ago

Michuzi

KAGAME CUP

 Kikosi cha timu ya Khartoum ya Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo. Gor Mahi inaongoza kwa magoli 3-1. (Picha na Francis Dande) Wachezaji wa timu ya Khartoum wakishangilia bao. Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao. Golikipa wa timu ya Gor Mahia, Boniface Oluochakiokoa moja ya hatari langoni mwake.Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Kagame Cup Kuanza Agosti 8

Michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup inaanza Agosti 8 mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

MAKUNDI KAGAME CUP YATANGAZWA

Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza makundi ya michuano ya Kagame Cup inayotarajia kufanyika nchini Rwanda kuanzia Agosti 8. Wawakilishi wa Tanzania Yanga wamepangwa kundi A wakiwa na wenyeji Rayon Sport pamoja KMKM kutoka Zanzibar, Coffee ya Ethiopia na Atlbara ya Sudani Kusini. Makundi yako kama ifuatavyo: Kundi A: Rayon Sport (Rwanda) Yanga (Tanzania) Coffee (Ethiopia) Atlbara (South Sudan)...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandalizi Kagame Cup yaendelea

Maandalizi kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame Cup yanaendelea huku timu zikijiandaa na michuano hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani