CAF YAIPA TANZANIA UENYEJI FAINALI ZA U17
![](http://3.bp.blogspot.com/-UINCzroZiAs/VWV398DxbHI/AAAAAAAHaDc/Qv--SZeJt4s/s72-c/index.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika -CAF leo hii limeipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika ya vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
Uenyeji huu ni hatua muhimu sana kwa Tanzania katika kukuza soka la vijana na kwa hatua hii Tanzania itacheza moja kwa moja fainali hizi.
Katika kuandaa kikosi bora cha kushiriki fainali hizi Tanzania, mwezi Juni mwaka huu TFF itaandaa mashindano ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 13 na wachezaji bora wa mashindano haya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 May
CAF yaipa TZ uenyeji U-17.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Malinzi-28May2015.jpg)
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limetimiza ndoto za Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, za kuwa mwenyeji wa michuano mikubwa baada ya juzi kuipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
Katika michuano hiyo, Tanzania itashiriki michuano hiyo bila kupita katika hatua ya mchujo kutokana na faida ya uenyeji, ambao pia utatoa fursa ya kuomba kuandaa...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
CAF yaipa Yanga timu laini
10 years ago
StarTV11 May
Tanzania yakubali uenyeji Kagame Cup
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu inayojulikana kama Kagame Cup.
Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ambao ndio wamiliki wa mashindano haya na hutoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki. Watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo baade mwezi huu au mapema mwezi ujao.
Afisa habari wa TFF, Baraka Kizuguto amesema uamuzi wa...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
TANZANIA WAPIGWA CHINI UENYEJI WA AFCON 2017
![](http://shaffihdauda.com/wp-content/uploads/2014/10/shutterstock_73126690-774x320.jpg)
Hivyo, TFF inaelekeza nguvu zote katika kuandaa Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka U17 mwaka 2019.
Tunapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Fainali za Caf 2015: Timu 15 zafuzu
5 years ago
Goal.Com02 Mar
U17 World Cup: Masaka double gives Tanzania advantage over Uganda
5 years ago
Goal.Com16 Mar
U17 World Cup: Uganda put five past Tanzania to advance
11 years ago
Mwananchi13 Mar
WB yaipa somo la gesi Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Ubelgiji yaipa Tanzania bil. 15/-
SERIKALI ya Tanzania imepokea msaada wa sh bilioni 15 kutoka nchini Ubelgiji wenye lengo la kusaidia katika nyanja mbalimbali hasa katika sekta za kilimo, maji na maliasili. Akizungumza na waandishi...