Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF YAWAPONGEZA WABUNGE NA MADIWANI

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa viongozi wa mpira wa miguu nchini waliochaguliwa kuwa wabunge na madiwani katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, 2015.Viongozi waliochaguliwa katika nafasi ya Ubunge ni John Kadutu – mbunge wa Ulyankulu – Tabora, (mjumbe wa mkutano mkuu kutoka Mwanza) na Alex Gashaza – mbunge wa Ngara (Makamu mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kagera)Aidha waliochaguliwa Udiwani katika maeneo yao ni Khalid Abdallah (Mjumbe wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Lowassa awaombea kura wabunge, madiwani wa CCM

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa, amejikuta akiombea kura wabunge na madiwani waliosimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wapinga kushiriki uchaguzi na wabunge, rais

Mwenyekiti wa Alat Taifa, Dk Didas MasaburiWAJUMBE wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (Alat), ambao wengi ni madiwani wamepinga utaratibu wa Uchaguzi Mkuu, kutumiwa na wananchi kuchagua rais, wabunge na madiwani.

 

5 years ago

Michuzi

DKT. BASHIRU AFAFANUA UKOMO WA WABUNGE, WAWAKILISHI NA MADIWANI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally leo tarehe 21 Juni, 2020 ameongoza mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na watumishi wa Makao Makuu, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa ufafanuzi wa ukomo wa wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM.

Pamoja na mambo mengine, akifafanua suala hilo, Katibu Mkuu ameeleza kuwa ni vema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM wakaachwa waendelee kutekeleza majukumu yao kikatiba ikiwa ni pamoja na kuwa wajumbe wa vikao mbalimbali kwa mujibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge na Madiwani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za Wabunge kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 200 za madiwani kutoka kwenye kata za Halmashauri mbalimbali.
Tume inaendelea kupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka Halmashauri mbalimbali. Pia imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge tarehe 31/8/2015.  Leo tarehe 01/9/2015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa za Madiwani 53. 
Kati...

 

9 years ago

Michuzi

UK DIASPORA YAMPONGEZA RAIS MTEULE< WABUNGE NA MADIWANI WA CCM KWA USHINDI MNONO


CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI UINGEREZA, WALES NA SCOTLAND "CCM UK DIASPORA" TUNATOA HONGERA NA PONGEZI KWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWAKE KUWA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA BI, SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
PIA WABUNGE, MADIWANI NA WANACCM NA WASIO WANACCM WALIOFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA USHINDI ULIOPATIKANA. UMOJA NI USHINDI, SASA ‪#‎HAPA‬ KAZI TU!

TUNAKUAHIDI USHIRIKIANO WA HALI YA JUU...

 

10 years ago

Michuzi

NEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYASIASA ,WAJADILI MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jaji  Mstaafu Damiani Lubuva akizungumza wakati wa mkuato wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.  Mkurugenzi wa uchaguzi, Julius Mallaba akizungumza leo katika mkutano wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.   Baadhi ya viongozi wa vyombo vya siasa wakifuatilia kwa umakini katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani