TFF: ZAWADI ZA VPL KUTOLEWA KESHO
![](http://2.bp.blogspot.com/-yHZP3JLgGhE/VXe5QgEcL3I/AAAAAAAA_WU/85IwAO80-fI/s72-c/TFF%2BLOGO.jpg)
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya Alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa Vodacom Premier League msimu wa 2014/2015.
Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio eneo la Posta Mpya jijini Dar es salaam kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi katika halfa hiyo ya utoaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen02 Dec
TFF turns down request to to postpone VPL matches
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n06Kv7xC8LI/VEU3nezLJMI/AAAAAAAGsEI/iPPUwVD1HRQ/s72-c/TanzaniaFootballFederation.jpg)
TFF, KLABU VPL WAJADILIANA KUBORESHA SOKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-n06Kv7xC8LI/VEU3nezLJMI/AAAAAAAGsEI/iPPUwVD1HRQ/s1600/TanzaniaFootballFederation.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) wamekutana mwishoni mwa wiki na kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha maendeleo ya mchezo huo nchini.
Mkutano huo uliofanyika Dar es Salaam uliongozwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na kuhudhuriwa na wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF pamoja na wanyeviti wa klabu za VPL.
Masuala yaliyozungumzwa ni leseni za klabu (club licensing), maboresho ya Taifa Stars, Kanuni za Ligi Kuu, Kombe la FA (Shirikisho) na...
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Anatafutwa kwa kutokomea kusikojulikana na mali ya Kampuni, zawadi nono kutolewa
Kampuni ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD inautangazia umma kutoweka Mfanyakazi MUSA SAID (Pichani) aliyekuwa Dereva wa 21st CENTURY TEXTILES MOROGORO kwa kupeleka kusikojulikana mzigo wa Vitenge na kisha kutelekeza gari lenye namba za usajili T 128 CVJ katika bohari kuu (Main Godown) ya Dar es Salaam kampuni ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD.
Tumeshafungua Jalada CB/RB/4869/2014 na CB/IR/1540/2014.
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.
Kwa taarifa za kupatikana...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rmu0fSrMS3Q/VILVLimOMAI/AAAAAAACwA4/SzkPnvsuvo8/s72-c/Picha%2B1%2C%2BMkurugenzi%2Bwa%2BKampuni%2Bya%2Bstatoil%2Bbwana%2BOystein%2BMichelsen.jpg)
STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FgEVhZFnvDo/XnC5fP2H3qI/AAAAAAALkFQ/YCMRdMRUuIsOZN-9IeADeiKNq97DC0SpwCLcBGAsYHQ/s72-c/cd91494e-7468-410f-99b0-f6dd6981f07a.jpg)
TFF, Bodi ya Ligi Kukutana kesho
![](https://1.bp.blogspot.com/-FgEVhZFnvDo/XnC5fP2H3qI/AAAAAAALkFQ/YCMRdMRUuIsOZN-9IeADeiKNq97DC0SpwCLcBGAsYHQ/s640/cd91494e-7468-410f-99b0-f6dd6981f07a.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UNKRqpeLY3A/VXgG4S3q9lI/AAAAAAAHePY/_TlAftJ_66k/s72-c/Vodacom_League_logo_3D.png)
VODACOM KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI KUU TANZANIA BARA KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-UNKRqpeLY3A/VXgG4S3q9lI/AAAAAAAHePY/_TlAftJ_66k/s640/Vodacom_League_logo_3D.png)
Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio eneo la Posta Mpya jijini Dar es salaam kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi katika halfa hiyo ya utoaji zawadi...
9 years ago
Michuzi25 Sep
HABARI TOKA TFF: KESHO YANGA NA SIMBA KIINGILIO KUANZIA BUKU SABA
![](http://tff.or.tz/images/derby.png)