TGNP Mtandao ya Chambua Bajeti na Wahariri wa Vyombo vya Habari
Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana.
Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao.
Juu ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTGNP MTANDAO YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana. Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii. Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao. Juu ni baadhi ya...
11 years ago
MichuziMkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari
Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro
Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo
Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...
10 years ago
GPLMAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa nne kushoto), Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa pili kulia), Bw. Kajubi Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) (wa tatu kushoto), Prof. Mugongo Fimbo (wa pili kulia) na Msajili wa ICTR (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya...
10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na wadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari ( hawapo pichani) inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015Wadau wa sekta mbalimbaliwadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari wakimsikiliza mkurugenzi mkuu TMA (hayupo pichani) wakati wa warsha inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015
10 years ago
GPLLOWASAA AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JANA DODOMA
 Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma jana kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini.  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na wahariri mjini Dodoma hao.
  Wahariri wakimsikiliza kwa makini Lowassa. …
10 years ago
MichuziPPF YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MJINI BAGAMOYO
Mkurugenzi wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya, akionyesha tuzo ambayo PPF ilipata kwenye shindano la Afrika linaloandaliwa na taasisi ya ISSA, kuhusu utoajin bora wa huduma wa mifuko ya hifadhi ya jamii barani Afrika, hususan kwenye fao la elimu. Alikuwa akiwaonyesha wahariri wa vyombo vya habari kwenye semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani Jumamlosi Desemba 13, 2014 baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye mifuko ya hifadhi ya...
10 years ago
Michuzi02 Oct
SSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wahariri hao.Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri, Dar es Salaam jana.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya...
11 years ago
MichuziWAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAFANYA ZIARA TBL JIJINI DAR
Wahariri wakiwa katika picha ya pamoja a viongozi wa TBL wakati wa ziara hiyo. Wahariri wa Vyombo vya Habari wakitembelea eneo la upikaji bia wakati wa ziara yao iliyofanyika kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam Mtalaam wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziNEMC yawapiga msasa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dr. Vedast Makota (kulia), akifungua rasmi warsha ya siku mbili ya mafunzo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, kuhusu jinsi ya kuandaa habari za Mazingira, akifungua kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Mhandisi Bonaventure Baya, iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo Palace Hotel Mjini Morogoro. Aliyekaa kushoto ni Mwenyekiti wa mkutano huo aliyechaguliwa Bw....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10