Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THEA: SINA MPENZI NA WALA SIHITAJI

Na Brighton Masalu
Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ndumbangu Mesayo ‘Thea’ amefungua kinywa kwa mara ya kwanza kuwa, hivi sasa hana  wala hahitaji kabisa mpenzi na hapendi kukumbuka chochote kilichopita katika maisha yake ya kimapenzi. Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ndumbangu Mesayo ‘Thea’. Akizu ngumza na gazeti hili juzi Thea alisema, hakuna kitu ambacho...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Zitto: Sina uhusiano na Mwasiti wala Diva

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kukana kuwa na mahusiano na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness ‘Diva’ pamoja na msanii wa muziki, Mwasiti. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi cha EATV ambapo alikanusha kuwa na uhusiano wowote wa mapenzi na mastaa hao licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na Diva. “Mh! […]

 

10 years ago

GPL

IDRIS SINA MPANGO WA KUWA NA MPENZI

 Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akijiandaa kufanya mahojiano na wafanyakazi wa Global Publishers kupitia Global TV Online. MSHINDI wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Rashid Sultan ameweka wazi kuwa bado hajajipanga kuwa na mpenzi na suala hilo halipo kwenye mipango yake kabisa. Akizungumza na Global TV Online, Idris alisema sasa hivi akili yake ipo katika kubadilisha maisha ya...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijajua mpaka sasa nitazaa lini…Accept me the way I am

Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. Jide akiwa na Mokonyo (mtoto wa mdogo wake Dabo) “SWALI: Una watoto wangapi? JIBU : Sina mtoto wala watoto SWALI:Utazaa […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki

Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.

Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;

Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”

Lulu: “Siyo...

 

10 years ago

Bongo5

Rich Mavoko: Sijaachia wimbo wala kwa sasa sina mpango wa kuachia wimbo

Kama wewe ni shabiki wa mtoto wa mama Richard, Rich Mavoko inabidi uwe na subira kwasababu muimbaji huyo wa ‘Pacha Wangu’ amesema hana mpango wa kutoa wimbo mpya hivi karibuni. Wiki hii kuna wimbo wa Rich Mavoko unaoitwa Ongea Nae’ umesambaa kwenye baadhi ya blogs na hata kuzifikia radio mbalimbali mikoani ikiaminika ni single yake […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala

Tazama video ya mtangazaji wa redio ambaye pia ni muimbaji wa jijini Mbeya, Chris Bee ya wimbo wake ‘Wala Wala’ aliowashirikisha G Sacha na Silvia.

 

9 years ago

Bongo Movies

Sihitaji Kuwa Daktari Nitaigiza Tu- Belinda

MWIGIZAJI chipukizi mwenye umri mdogo katika tasnia ya filamu Bongo Belinda Steven amesema kuwa amechagua kazi yake ya kuigiza toka akiwa mtoto hivyo anasoma kwa bidii lakini hafikirii kuwa Daktari bingwa au kazi yoyote zaidi ya uigizaji tu kwani sanaa hiyo ipo moyoni mwake anaongea kwa kujiamini.

“Namdu masomo na kuigiza kwani kila kitu kina nafasi yake hivyo hawezi kuingiliana hata siku moja, ninapokuwa shule akili yangu yote inakuwa katika masoma na nikiwa kuigiza nakuwa makini kwa hilo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Lulu: Nadhani sihitaji simu ya mkononi

Mwigizaji anayefanya vizuri sokoni kwa sasa,Elizabeth Michael maarufu Lulu, amesema kuwa hatamani tena kutumia simu ya mkononi kwani amekuwa akisumbuliwa na watu wasiokuwa na mambo ya msingi ya kumweleza wanaompigia simu mara kwa mara.

 

10 years ago

Bongo Movies

Belinda: Sihitaji Kuwa Daktari Nitaigiza Tu

MWIGIZAJI chipukizi mwenye umri mdogo katika tasnia ya filamu Bongo Belinda Steven amesema kuwa amechagua kazi yake ya kuigiza toka akiwa mtoto hivyo anasoma kwa bidii lakini hafikirii kuwa Daktari bingwa au kazi yoyote zaidi ya uigizaji tu kwani sanaa hiyo ipo moyoni mwake anaongea kwa kujiamini.


“Namdu masomo na kuigiza kwani kila kitu kina nafasi yake hivyo hawezi kuingiliana hata siku moja, ninapokuwa shule akili yangu yote inakuwa katika masoma na nikiwa kuigiza nakuwa makini kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani