Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiba ya kisukari kwa kutumia kongosho Bandia mbioni kutumika

Kwa kawaida wataalamu wa afya wanaugawa ugonjwa wa kisukari katika aina kuu mbili; kisukari cha aina ya kwanza ambacho kinatambulishwa kama ni cha utotoni na kisukari cha aina ya pili, kinachobainishwa kuwa ni cha ukubwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

10 years ago

GPL

KINACHOSABABISHA KISUKARI, MADHARA NA TIBA-3

LEO tunaendelea  kuwaelimisha kuhusu ugonjwa wa kisukari tukimalizia na wajawazito. endelea:
Karibu asilimia 20 mpaka 50 ya wajawazito wanaopata  kisukari huweza kuendelea kuwa na ugonjwa huo hata baada ya ujauzito na hatimaye kuwa na aina ya pili ya kisukari maishani.

KWA NINI KISUKARI HUTOFAUTIANA?
Sababu za kisukari hutofautiana kulingana na aina ya ugonjwa huo. Kwanza tuchambue mambo yanayosababisha mtu apatwe...

 

10 years ago

GPL

KINACHOSABABISHA KISUKARI, MADHARA NA TIBA-2

TULIANZA wiki iliyopita kueleza kinachosababisha mtu kupata ugonjwa wa kisukari. Endelea: Seli maalumu zinazotengeneza homoni ya insulin zinapokosekana katika tezi kongosho au zinapoharibika kutokana na sababu yoyote ile husababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu. Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa tezi hizo kunakoweza kufanywa na magonjwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India

Image 1

from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.

Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...

 

10 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA TIBA: Upasuaji kwa kutumia roboti sasa wafanyika nchini

>Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya Mil 60 zilizotengwa kwa sherehe za miaka 50 ya Mkoa wa Singida kutumia kununulia vifaa tiba

IMG_1422

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kubadilisha matumizi ya zaidi ya shilingi 60.6 milioni zilizokuwa zigharamie sherehe ya maadhimisho ya mkoa huu kutimiza miaka 50 toka uanzishwe mwaka 1963, na sasa zitatumika kununulia vifaa tiba na vitendea kazi katika hospitali mpya ya rufaa ya mkoa. IMG_1426 IMG_1439 Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani hapa, Ivo Manyaku, ameupongeza mkoa wa Singida kwa uamuzi wake wa kutumia shilingi 60.6...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi walalamika kutumia majina bandia

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Nyugwa, Wilaya ya Nyangh’wale, mkoani Geita, wameiomba serikali ya mkoa kumchukulia hatua Ofisa Elimu ya Sekondari wa wilaya hiyo na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Geita waonywa kutumia bidhaa bandia

WANANCHI wilayani Geita, wametakiwa kuachana na wafanyabishara wanaouza bidhaa bandia kwa kujipatia kipato na kuwaacha watumiaji wakiwa wanahangaika huku wao wakipata faida kubwa kutokana na biashara hiyo. Kauli hiyo ilitolewa...

 

5 years ago

CCM Blog

ZAIDI YA TSH. MILIONI 700 KUTUMIKA KUJENGA KITUO CHA TIBA YA METHADONE

   Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanapotenga asilimia 10 ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya kuwapatia mikopo vijana,wanawake na watu wenye walemavu wawape fursa hiyo hasa vijana wanaotaka kuondoka kwenye matumizi ya Dawa za kulevya.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akizindua kituo cha kutoa Tiba ya methadone kwa waratibu wa Dawa za kulevya ambapo Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wamekijenga katika hospitali ya rufaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani