TIC yasaini mkataba wa ushirikiano wa pamoja na Kampuni ya Tanga Fresh Ltd
![](http://1.bp.blogspot.com/-5ddLpBu8wV4/Uy9BmIheV6I/AAAAAAAFVx8/PLiufKNP-gY/s72-c/unnamed+(88).jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Gallawa (katikati) akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa programu ya mwaka mmoja ya kutoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali wadogo wapatao 60 kutoka katika vituo mbalimbali vya kupoozeshea maziwa katika mkoa huo mwishoni mwa wiki mjini Tanga. Programu hiyo itaendeshwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kwa kushirikiana na kampuni ya Tanga Fresh Ltd. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet Kairuki na Meneja Mkuu wa kampuni ya Tanga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXUpr0xbs1zQJocZWqsCgMoYdz1-8ocZzTFy-8ExeCc7tCMlJofQFTobe4ebJzkQz80jgrVH9iKA0OUCMxX5gSaD/TRL1.jpg?width=650)
TRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UENDESHAJI WA KAMPUNI HIYO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9m7DTNHXEPE/VBBdNUueNSI/AAAAAAAGils/d03x-lSTseg/s72-c/1.jpg)
TRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UNDESHAJI WA KAMPUNI HIYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-9m7DTNHXEPE/VBBdNUueNSI/AAAAAAAGils/d03x-lSTseg/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dyUyilttm-c/VBBdQmp1MeI/AAAAAAAGil0/gpeRhHPkcoU/s1600/2.jpg)
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"
9 years ago
MichuziSERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MAGARI NA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mUfC1Jhqtpo/Uv06tiNVMZI/AAAAAAAFNDw/RUzU8Veowrc/s72-c/unnamed+(9).jpg)
TIC YASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-mUfC1Jhqtpo/Uv06tiNVMZI/AAAAAAAFNDw/RUzU8Veowrc/s1600/unnamed+(9).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Dr4VMbcMRNY/Uv06sPkqp3I/AAAAAAAFNDc/KEu7B0W4NFU/s1600/unnamed+(10).jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
TPB yasaini ushirikiano na Benki ya Kijerumani
Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler, (wapili kushoto0, akimkabidhi mfano wa hundi ya euro 2,000, mkurugenzi mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatanoi Feb 12, 2015. Benki hiyo ya Kijerumani na TPB, pia wamesaini makubaliano ya ushirikiano baina yao.
![Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hsusan huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB eURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/sign.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iH9amxyWCb0/U601TGeHGaI/AAAAAAACkWU/9AsYuqGKESo/s72-c/ATCL+1.jpg)
ATCL yasaini mkataba kushirikiana na Interair
![](http://1.bp.blogspot.com/-iH9amxyWCb0/U601TGeHGaI/AAAAAAACkWU/9AsYuqGKESo/s1600/ATCL+1.jpg)
9 years ago
Mwananchi08 Sep
TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali