ATCL yasaini mkataba kushirikiana na Interair
![](http://1.bp.blogspot.com/-iH9amxyWCb0/U601TGeHGaI/AAAAAAACkWU/9AsYuqGKESo/s72-c/ATCL+1.jpg)
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL), Kapteni Milton Lazaro (katikati) akipeana mkono na Meneja wa Kanda wa Interair, Angelo Cossi mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya makubaliano yaliyosainiwa kati ya shirika la ATCL na shirika la Interair la Afrika ya Kusini, yatakayowezesha kuwepo na safari tatu kwa wiki kati ya Dar es Salaam na Johannesburg Afrika ya Kusini. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa ATCL Bw. Juma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Sep
TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali
11 years ago
BBCSwahili27 May
Guinea yasaini mkataba mkubwa wa madini
9 years ago
Michuzi04 Dec
TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salam Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile amesema kuwa kupitia ushirikiano uliopo baina ya nchi hizo mbili, Serikali ya Uswisi inaendelea kusaidia kuboresha Sekta ya Afya nchini hususani kuhakikisha wananchi wanapata huduma...
9 years ago
MichuziBENKI YA TIB YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI NA SERIKALI
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Tume ya Sayansi yasaini mkataba fedha za utafiti
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, imesaini mkataba wa dola milioni 600 za Marekani (sh bilioni 9) na Denmark, kwa ajili ya kuendeleza tafiti mbalimbali nchini. Akizungumza na waandishi...
5 years ago
MichuziTTCL yasaini mkataba wa zaidi ya sh.Bilioni Tano
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iEKQyPbhe4s/VEs5mpSnpOI/AAAAAAACtgk/WQc9mtMzT0c/s72-c/unnamed.jpg)
Benki ya Exim yasaini mkataba wa mwaka mmoja na Stand United FC
![](http://4.bp.blogspot.com/-iEKQyPbhe4s/VEs5mpSnpOI/AAAAAAACtgk/WQc9mtMzT0c/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5ddLpBu8wV4/Uy9BmIheV6I/AAAAAAAFVx8/PLiufKNP-gY/s72-c/unnamed+(88).jpg)
TIC yasaini mkataba wa ushirikiano wa pamoja na Kampuni ya Tanga Fresh Ltd
![](http://1.bp.blogspot.com/-5ddLpBu8wV4/Uy9BmIheV6I/AAAAAAAFVx8/PLiufKNP-gY/s1600/unnamed+(88).jpg)