Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Sayansi yasaini mkataba fedha za utafiti

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, imesaini mkataba wa dola milioni 600 za Marekani (sh bilioni 9) na Denmark, kwa ajili ya kuendeleza tafiti mbalimbali nchini. Akizungumza na waandishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzania yasaini mkataba wa Sh. bilioni 15.5 kutoka benki ya ADB kuboresha kituo cha utafiti MUHAS.

Katibu Mkuu Wizara ya fedha Bw. Servacius Likwalile (kushoto) akisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa ajili ya kuboresha kituo cha utafiti wa magonjwa ya moyo kinachosimamiwa na Chuo Kuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Muwakilishi wa Benki ya ADB nchini Tonia Kandiero akisaini mkataba huo kwa niaba ya Rais wa benki hiyo Dkt. Donald Kaberuka.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...

 

11 years ago

Michuzi

ATCL yasaini mkataba kushirikiana na Interair

 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL), Kapteni Milton Lazaro (katikati) akipeana mkono na  Meneja wa Kanda wa Interair, Angelo Cossi  mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya makubaliano yaliyosainiwa kati ya shirika la ATCL na shirika la Interair la Afrika ya Kusini, yatakayowezesha kuwepo na safari tatu kwa wiki kati ya Dar es Salaam na Johannesburg Afrika ya Kusini. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa ATCL Bw. Juma...

 

9 years ago

Mwananchi

TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali

Benki ya Maendeleo (TIB), imesaini mkataba wa kiuetendaji na Serikali, hatua inayofungua milango kwa Serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa Taifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Guinea yasaini mkataba mkubwa wa madini

Serikali ya Guinea imesaini mkataba mkubwa zaidi wa uchumbaji madini na makampuni ya Rio Tinto, Chinalco ya Uchina na shirika la kimataifa la fedha.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA TIB YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI NA SERIKALI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki ya Maendeleo TIB Prof. William Lyakurwa (wapili kushoto) na Msajili Hazina Bw. Lawrence Mafuru (wa pili kulia) wakibadilishana mikataba ya makubaliano ya kiutendaji kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Mkataba huo unalenga kufungua milango kwa serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa taifa. Wanaoshuhudia ni pamoja na Msajili Hazina msaidizi Bw. Mwakibinga Mihalale (wa pili...

 

5 years ago

Michuzi

TTCL yasaini mkataba wa zaidi ya sh.Bilioni Tano

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa utiaji wa saini ya mkataba kati ya  Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na  Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (USCAF) katika Hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Waziri Kindamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba wakisaini nyaraka za mkabata wa thamani zaidi ya  bilioni tano kwa TTCL kupeleka mawasiliano...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA

Na Jacquiline Mrisho na Nyakongo Manyama -MAELEZOSERIKALI ya Tanzania imesaini mikataba miwili na Serikali ya Uswisi ili kuendeleza na kuimarisha huduma za kijamii nchini hasa katika Sekta ya Afya.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salam Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile amesema kuwa kupitia ushirikiano uliopo baina ya nchi hizo mbili, Serikali ya Uswisi inaendelea kusaidia kuboresha Sekta ya Afya nchini hususani kuhakikisha wananchi wanapata huduma...

 

10 years ago

Dewji Blog

TIPER yasaini makubaliano kuchangia vitabu vya masomo ya sayansi Shule ya Sekondari Vijibweni

TIPER PIX 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni inayoifadhi mafuta ya Tanzania, Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER), Bw Daniel Belair, akikabidhi vitabu vya sayansi vikiwemo vya Fizikia, Baolojia na Kemia kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Vijibweni, Bw Itumbo Kinyonyi wakati wa sherehe ya kusaini makubaliano yatakayoiwezesha kampuni hiyo kuchangia vitabu 200 vyenye thamani ya Shilingi milioni nne kwa shule hiyo iliyopo eneo la Kigamboni wilaya ya Temeke. Shughuli hiyo ilifanyika jana katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani