Tigo yazidi kupanua wigo wake maeneo ya vijijini
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (aliyevaa miwani) pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga wakikata utepe kuzindua minara ya mawasiliano ya mtandao wa simu wa Tigo katika vijiji vya Iguluba na Makukula, Jimbo la Isimani, wilayani Iringa mkoani Iringa. Wengine pichani ni viongozi wa wilaya ya Iringa na baadhi ya wananchi wa vijiji hivyo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma
WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Shirika la Posta lajipanga kupanua wigo wa huduma
KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Posta Duniani (UPU) mtandao wa mawasiliano kwa njia ya Posta unajumuisha ofisi za posta 660,000 zenye uwezo wa kusambaza wastani wa...
10 years ago
Habarileo08 Mar
TBS kupanua elimu wigo wa viwango vya ubora
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeongeza kasi ya utoaji wa elimu ya viwango kwa wanawake wajasiriamali na watu wengine nchini ili kuwawezesha kupata nembo ya ubora wa bidhaa ambazo zitaweza kuingia katika soko la ushindani la ndani na nje nchi.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hjddvqSdx_8/UwnBB1gBJgI/AAAAAAAFO3E/3ui7tQTmXRc/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Tigo kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano mikoa ya kusini
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (mwenye miwani) na Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Iringa, John Kiteve (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi mnara wa kisasa wa mawasiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini.
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (katikati) akisoma hotuba yake mara baada ya kampuni hiyo ya mawasiliano kuzindua mnara wake wa masiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini mwishoni mwa wiki.
Mrajisi wa Vyama vya...
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Tigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar
Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano.
Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya mikakati yake ya upanuzi wa huduma zake nchini.
Hii ilitangazwa leo na Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano wakati alipotembelea Zanzibar kwa mara ya kwanza kukutana na wadau wa kampuni kisiwani hapo.
Bi. Tiano alisema kwamba minara hii mipya 10 ni uwekezaji mkubwa ambao kampuni hiyo...
5 years ago
MichuziMITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake' na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...
9 years ago
VijimamboNHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Tigo yazidi kuwapagawisha wananchi wa Dodoma kwenye Tamasha la Welcome Pack
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu Izzo Business akipiga bonge la shoo kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kifurushi cha welcome pack kinatoa muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, sms bila kikomo na shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Wasanii wa Original Komedi wakiwapa burudani wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni...