Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA SHABA FC YAENDA BARAZA LA WAWAKILISHI KUPONGEZWA BAADA YA KUFANIKIWA KUPANDA LIGI KUU YA ZNZ

 Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wakakilishi(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili ndani ya Ukumbi wa Baraza hilo leo kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi ya kushiriki Ligi kuu ya Zanzibar mwaka 2014/2015.   Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwa katika  Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi leo walipoenda kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Shaba, Kipanga, Chuoni hatihati Ligi Kuu

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
LIGI Kuu ya Zanzibar inatarajia kumalizika Juni 3, mwaka huu, huku timu za Shaba, Kipanga, Chuoni, Malindi na Miembeni zikiwa katika hatari ya kushuka daraja.
Miembeni na Malindi zina pointi 23 kila moja na zimebakiwa na michezo miwili, huku Kipanga ikiwa na pointi 20 na mchezo mmoja mkononi, Shaba na Chuoni zina pointi 19 kila moja na wamebakiwa na michezo miwili kila mmoja.
Hadi sasa timu ya Mafunzo inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 39 kwa kucheza mechi 20 na...

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan leo

Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Chuoni katika uwanja wa Amaan, jioni leo na katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 1--1.Mchezaji wa timu ya Shaba akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba na timu yake wanapaswa kupongezwa

“Rasimu ya Katiba ya sasa ndiyo suluhisho pekee la kuondokana na taifa lenye wazee tegemezi, kwani imeweka  mfumo mzuri  katika Sekta ya Elimu na Afya kwa vijana na watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Timu zilizopanda Ligi Kuu zijipange

Nazipongeza African Sport ya Tanga, Mwadui ya Shinyanga, Toto Africa ya Mwanza na Majimaji ya Songea kwa kupanda daraja na kuingia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Timu tano zawania Ligi Kuu

Wakati Polisi Morogoro ikiwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu msimu wa 2014/2015, timu nyingine tano za ligi daraja la kwanza zinachuana kuwania nafasi mbili zilizobakia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani