Timu yta Coastal Union kuiburuza Mahakamani Kampunni ya Binslum Tyre
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umesema utakwenda mahakamani kuishtaki Kampuni ya Binsul Tyre kutokana na kitendo cha kutengeneza tisheti za Coastal Union zenye nembo ya kampuni Sound na kuwapa bure mashabiki kuingiza nazo kwenye mechi mbalimbali za ligi kuu Tanzania bara wakiwa wamelipiwa na viingilo vya mchezo husika.
Hali hiyo ni kinyume na utaratibu kutokana na kuwa tayari kampuni hiyo ilishajitoka kufadhili timu hiyo na tayari klabu ya Coastal Union ilikwishapata mfadhili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCoastal Union kuiburuza Mahakamani Kampunni ya Binslum Tyre
Hali hiyo ni kinyume na utaratibu kutokana na kuwa tayari kampuni hiyo ilishajitoka kufadhili timu hiyo na tayari klabu ya Coastal Union ilikwishapata mfadhili...
11 years ago
MichuziTIMU YA MBEYA CITY FC YAPATA MDHAMINI RASMI AMBAO NI BINSLUM TYRE COMPANY LIMITED
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BcGmMvoAAgk/U1pGx0zGoPI/AAAAAAAFc-0/0HkJ8PNdd6w/s72-c/NEMBO+YA+COASTAL+UNION.jpg)
Msemaji wa Timu ya Coastal Union abwaga manyanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-BcGmMvoAAgk/U1pGx0zGoPI/AAAAAAAFc-0/0HkJ8PNdd6w/s1600/NEMBO+YA+COASTAL+UNION.jpg)
Miongoni mwa sababu nyingi zilizonifanya kutangaza uamuzi huo ni sintofahamu iliyozuka ndani ya klabu yetu, kwa taaluma yangu ya uandishi wa habari lazima niwe na msimamo juu ya mambo yanayoendelea kwenye jamii.
Ili niendelee kufanya kazi na klabu hii kwa wakati huu wa misuguano, lazima niwe na upande; kwa maana upande unaounga mkono uongozi ama upande...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
ACT-Tanzania kuiburuza CHADEMA mahakamani
NA SOLOMON MWANSELE,MBEYA.
CHAMA Cha ACT-Tanzania mkoa wa Mbeya, kimesema kitaiburuza mahakamani CHADEMA kwa tuhuma za wizi wa kadi 50 na bendera za chama hicho, vilivyoibwa kwenye ofisi yake iliyoko Uyole jijini Mbeya.
Imeelezwa kuwa tayari ACT-Tanzania imeshakamilisha taratibu za kufungua kesi hiyo na mwanasheria wa chama hicho kutoka makao makuu jijini Dar es Salaam, anatarajiwa kuwasili leo (jana).
Mratibu wa ACT-Tanzania mkoa wa Mbeya, Bahati Rongopa, aliyasema hayo jana wakati akielezea...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-h5p2bHM8mNM/XlKk9X6q7nI/AAAAAAALe7g/1I8O22076GQAUq2J0hIfMcbPDSzZckgIwCLcBGAsYHQ/s72-c/tariq%252Bpic.jpg)
MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...
Yassir Simba, Michuzi Tv
MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.
Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari 23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Coastal Union yajivunia Chipo
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Coastal Union yamfungia Banda
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Coastal Union ipo imara