Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tino: Filamu za Bongo haziuzi bila warembo

MSANII wa maarufu wa filamu Tanzania, Hisani Muya ‘Tino’, amesema filamu za Bongo haziwezi kuuza bila kuwa na wasichana warembo. Akizungumza na mtandao wa Bongo 5 jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tino Muya: Bongo Movie hatuvuni tunachopanda

Ni ukweli usiopingika kwamba, tasnia ya filamu nchini imeendelea kukua kwa kasi, huku tumaini la kujiajiri likiendelea kukomaa kutokana na sababu mbalimbali zinazovutia katika filamu hizo.

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA TINO MADHAHABU, BONGO MUVI HOFU UPYA!

Stori: waandishi Wetu/Ijumaa
HOFU! Waigizaji wa tasnia ya filamu Tanzania, ambao walikuwa wameanza kusahausahau misiba mfululizo iliyowatokea miaka michache iliyopita, juzikati walijikuta wakitoneshwa kidonda, baada ya kutokea kifo cha muigizaji Tino Madhahabu, kilichotokea Tunduma mkoani Mbeya, kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Muigizaji Tino Madhahabu enzi… ...

 

9 years ago

MillardAyo

Video 2 fupi za comedy:Mrembo hatoki bila kupaka make – up, Warembo wanapenda wanaume wa namna gani?, basi zicheki hapa..

Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu Mrembo hatoki bila kupaka make-up na cha pili kinahusu warembo wanapenda Wanaume wa namna gani ebu bonyeza play hapa chini 😂😂😂 Mrembo hatoki bila kupaka make-up !! mtag muhusika wako A video posted by millard ayo (@millardayo) […]

The post Video 2 fupi za comedy:Mrembo hatoki bila kupaka make – up, Warembo wanapenda wanaume wa namna gani?, basi zicheki...

 

9 years ago

Mwananchi

HAJI ADAM: Bila wawekezaji tasnia ya filamu itayumba

Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa.

 

9 years ago

Bongo Movies

BABA HAJI: Bila Haya Tasnia ya Filamu Itayumba

Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa.

Baba Haji

Baba Haji

Anazitaja baadhi ya sababu zinazochangia kukosekana kwa msisimko huo kuwa ni wasanii kutunga bora liende, kutumia CD yenye filamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani