TIRA KUCHANGIA ZAIDI YA SH BILIONI 2 MFUKO MKUU WA SERIKALI
Charles James, Michuzi TV
KAMISHNA wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Mussa Juma amesema mamlaka hiyo inatarajia kutoa Sh Bilioni 2 ikiwa ni mchango wake kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Dk Juma amesema hatua hiyo inakuja baada ya sekta hiyo ya Bima kukua nchini na hivyo kuonelea kwamba inawapasa nao kama mamlaka kuchangia mfuko huo.
Hayo ameyasema jijini Dodoma wakati akijibu maswali na hoja za wabunge ambao ni wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya bajeti ambayo ilikutana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZaidi ya sh. Milioni 100 zapatikana katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund jijini dar
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Serikali ya Tanzania yapokea zaidi ya Sh. Bilioni 10
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.
Na Eleuteri Mangi –MAELEZO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea Sh. Bilioni 10.1 ambazo ni sawa na EURO milioni 4.8 kutika Serilkali ya Finland ikiwa kwa lengo la ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi...
10 years ago
VijimamboSERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).
Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...
5 years ago
MichuziBarabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89
Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati akiweka jiwe la...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Serikali yatoa zaidi ya shilingi 6.7 bilioni kujenga hospitali ya rufaa Singida
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi 6.7 bilioni kwa...
5 years ago
Michuzi24 Jun
Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite
Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stansalus Nyongo
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...
11 years ago
GPLSERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI 6.7 BILIONI KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA