Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA: Ni mwaka wa ukame

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Agnes KijaziHALI ya ukame inatarajiwa kukabili nchi kutokana na upungufu wa mvua utakaoathiri pia upatikanaji wa nishati ya umeme.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

TMA: Ukame kuishambulia nchi masika




NA WILLIAM SHECHAMBO KIWANGO cha mvua katika msimu wa mwaka huu wa masika ni kidogo kwenye maeneo mengi ya nchi hali inayoweza kusababisha ukame endapo Watanzania hawatazitumia kwa busara mvua chache zinazotarajiwa kunyesha nchini. Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), juu ya mwelekeo wa mvua kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia sasa, ulisema licha ya maeneo mengi ya nchi kutarajia mvua za wastani, maeneo mengine mvua zitakuwa kubwa. Baadhi ya maeneo hayo ni kanda ya Ziwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je TZ itamaliza ukame mwaka huu?

Wanamichezo watakaowakilisha TZ katika michezo ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow, chatangazwa

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZA MWAKA 2019 ZIMEVUNJA REKODI, TMA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuelezea tathmini ya hali ya Hewa kwa mwaka 2019.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuelezea tathmini ya hali ya Hewa kwa mwaka 2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TMA, Dkt. Buruhani Nyenzi akiwa katika mkutano huo.Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi kukumbwa na ukame

>Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika katika kipindi cha Machi mpaka Mei na kusema kuwa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kukumbwa na ukame

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za masika hazitarajiwi kuwa za kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAKABILIWA NA UKAME

Mgeni Rasmi katika Semina ya Kukuza Uelewa wa Usimamizi wa Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga, Bwana Salim Chima ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga akifungua Semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu akizungumza jambo katika Semina ya Kukuza Uelewa katika Masuala ya Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga iliyofanyika jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ukame mkali wanyemelea Ethiopia

Umoja wa mataifa umesema juhudi kubwa za msaada kimataifa zinahitajika nchini Ethiopia kuzuia janga la kibinadamu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukame wa magoli wamuandama Suarez

Suarez aeleza kutofurahishwa na kitendo cha kutozifumania Nyavu na kung'ara kwa mambo msimu huu. Anasema ukame umekithiri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani