TANZANIA YAKABILIWA NA UKAME
![](http://4.bp.blogspot.com/-ba1K80wRZzQ/VXAClYG4feI/AAAAAAAHb24/OJdrvJEJKlQ/s72-c/unnamed%2B%252867%2529.jpg)
Mgeni Rasmi katika Semina ya Kukuza Uelewa wa Usimamizi wa Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga, Bwana Salim Chima ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga akifungua Semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu akizungumza jambo katika Semina ya Kukuza Uelewa katika Masuala ya Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga iliyofanyika jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Tanzania kukumbwa na ukame
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....
10 years ago
Mtanzania28 May
Burundi yakabiliwa na njaa
Na Mwandishi Wetu, Bujumbura
HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji wa mazao kusimamisha huduma yao kuhofia usalama wao.
Kutokana na hali hiyo Serikali imekuwa ikihaha kuwaomba wananchi hasa waliokimbia wa mikoa ya milimani ya Makamba na Ngozi kurejea nchini humo waendelee na kilimo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Bujumbura ambaye jina lake linahitafadhiwa kwa sababu za usalama, alisema kwa wiki moja sasa huduma muhimu za vyakula...
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Nchi kukumbwa na ukame
10 years ago
Habarileo04 Mar
TMA: Ni mwaka wa ukame
HALI ya ukame inatarajiwa kukabili nchi kutokana na upungufu wa mvua utakaoathiri pia upatikanaji wa nishati ya umeme.
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Ivory Coast yakabiliwa na vikwazo
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Misikiti ya Canada na US yakabiliwa na tishio
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
UN yakabiliwa na ukosefu wa misaada Gaza