Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yakabiliwa na ukosefu wa misaada Gaza

Umoja wa mataifa umeonya kuwa unakabiliwa na ukosefu wa misaada wa raia elfu hamsini wa Palestina katika eneo la Gaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Idara ya Forodha yakabiliwa na ukosefu wa mizani.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Idara ya Forodha na Ushuru katika mpaka wa Tanzania na Malawi uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mizani kwa ajili ya kupimia mizigo inayovushwa katika mpaka huo.

 

Kutokana na tatizo hilo baadhi ya mizigo inayovushwa mpakani hapo haitozwi ushuru halisi kulingana na uzito iliyonayo na hivyo kuitia serikali hasara kwa kukusanya mapato madogo.

 

Katika mpaka wa Tanzania na Malawi ambao unajulikana kwa jina la Kasumulu, mpaka huu una...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAKABILIWA NA UKAME

Mgeni Rasmi katika Semina ya Kukuza Uelewa wa Usimamizi wa Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga, Bwana Salim Chima ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga akifungua Semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu akizungumza jambo katika Semina ya Kukuza Uelewa katika Masuala ya Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga iliyofanyika jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Burundi yakabiliwa na njaa

Pierre-NkurunzizaNa Mwandishi Wetu, Bujumbura
HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji wa mazao kusimamisha huduma yao kuhofia usalama wao.
Kutokana na hali hiyo Serikali imekuwa ikihaha kuwaomba wananchi hasa waliokimbia wa mikoa ya milimani ya Makamba na Ngozi kurejea nchini humo waendelee na kilimo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Bujumbura ambaye jina lake linahitafadhiwa kwa sababu za usalama, alisema kwa wiki moja sasa huduma muhimu za vyakula...

 

9 years ago

BBCSwahili

Misikiti ya Canada na US yakabiliwa na tishio

Misikiti nchini Marekani na Canada inakabiliwa na ongezeko la uharibifu na vitisho tangu shambulio la Paris.

 

10 years ago

Habarileo

‘DART yakabiliwa na tatizo la kifedha’

Dk Athumani MfutakambaMRADI wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) unakabiliwa na changamoto ya kifedha katika ujenzi wa miundombinu, kutokana na ongezeko la mahitaji ya fedha za kuukamilisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki

SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na  changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivory Coast yakabiliwa na vikwazo

Timu ya soka ya Ivory Coast huenda ikakabiliwa na vikwazo baada ya mashabiki wake kuvamia uwanja mjini Abidjan

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA:Nigeria yakabiliwa na marufuku

Nigeria inakabiliwa na marufuku ambayo huenda ikaitupa nje kushiriki katika michuano ya taifa bora barani afrika mwaka ujao.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO

 Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana.  Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Simeone Lihuluku.   Diwani wa kata ya Mgama, Denis Lupala akimpakulia chakula mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana baadhi ya wanafunzi shule ya sekondari ya Mgama wakiwa katika foleni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani