Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA yaanzisha mfumo mpya kwa marubani

Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeanzisha mfumo ambao unawawezesha marubani kupata taarifa za hali ya hewa kwa njia ya mtandao.
Hayo yalisemwa juzi, katika maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, ambapo Meneja Masoko na Mahusiano wa TMA, Hellen Msemo, alisema kuwa kila shirika la ndege litapatiwa namba ya siri ya kuingia kwenye mfumo huo.
“Kila shirika la ndege litachukua taarifa kwa ajili ya safari zake na hii ni miongoni mwa jitihada za mamlaka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NBAA YAANZISHA MFUMO MPYA WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO(MEMS)

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeanzisha mfumo mpya wa usajili kwa njia ya mtandao( MEMS) kwa wanafunzi, wanachama na wadau wake ili kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo imeeleza kuwa mfumo huo unatoa fursa kwa wanafunzi na wanachama kupata huduma mbalimbali  zinazotolewa na Bodi ikiwa ni pamoja na kufanya usajili, kufanya malipo mbalimbali, kuhudhuria semina, kununua vitabu na kadhalika kupitia...

 

9 years ago

Vijimambo

BENKI KUU YA TANZANIA YAANZISHA MFUMO MPYA WA MALIPO KWA MASAA 24 UTAJULIKANA KAMA TISS.

 Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bernard Dadi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu benki hiyo kuanza kutumia mfumo wa malipo baina ya benki na benki kwa masaa 24 kwa siku saba za wiki kwa mwaka utakajulikana kama TISS. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki, Marcian Kobello. Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki, Marcian Kobello (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
 Waandishi wa habari wakichukua taarifa...

 

10 years ago

Mtanzania

Basata yaanzisha mfumo mpya

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeanzisha kanzidata ‘database’ ya kuhifadhi kumbukumbu na taarifa mbalimbali za kumbi za starehe na burudani nchini ili kurahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi katika sekta ya sanaa.
Akizungumza jijini hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Basata kuhusu matumizi sahihi ya kanzidata, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza alisema wanaimani malengo ya kuhifadhi taarifa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MUWSA yaanzisha mfumo mpya kuhifadhi taarifa

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Moshi (MUWSA) imeanzisha kitengo cha mfumo wa kijiografia (GIS) kitakachokuwa na jukumu la kukusanya taarifa za wateja wa maji na kuzihifadhi katika mfumo wa kielektroniki...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO, UHURU ONE YAANZISHA MFUMO MPYA WA MTANDAO WA 4G LTE

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kwenye mkutano juu ya kampuni ya Tigo kuanza kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.Mkurugenzi Mkuu wa mradi huo Uhuru One, Rajab Katunda (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mradi huo. (katikati) ni Meneja Mradi huo wa Tigo, Kobbina Awuch.
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa mradi...

 

10 years ago

Habarileo

Voda yaanzisha huduma mpya ya lipa kwa M-Pesa

KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-Pesa ijulikanayo kama 'LIPA KWA M-PESA' ambayo ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakaowezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia huduma ya M-Pesa.

 

10 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yaanzisha huduma mpya ya ‘LIPA KWA M-PESA’

Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-PESA ijulikanayo kama “LIPA KWA M-PESA – huduma hii mpya ya kisasa ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCU yaanzisha mfumo utambuzi gharama za masomo

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeanzisha mfumo wa utambuzi wa gharama za masomo kwa kila mwanafunzi wa elimu ya juu. Mfumo huo utatumika kama mwongozo kwa ajili ya serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani