TMA YAWAASA WANANCHI KUTOPUUZA TAHADHARI ZITOLEWAZO
Mkurugenzi wa ofisiya Zanzibar, Bw Mohamed Ngwaliakitoa maelezo ya takwimuza hali mbaya yahe wailiyowahi kutokea kwa kipindi cha miaka 50 katika visiwa vya Unguja na Pemba, akisisitiza wananchi kutopuuza tahadhari zitolewazo. Ofisa Uhusianowa TMABi.Monica Mutoni akitoa elimu kwa umma jinsi ya kupata taarifa za hali yahe wakupitia njia mbalimbali za usambazaji wataarifa hizo kwenye maonesho ya maadhimisho yamiaka 50 ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV14 Nov
TMA yaendelea kutoa tahadhari kwa wananchi
Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imeendelea kuwakumbusha na kuwatahadharisha wananchi waishio mabondeni juu ya athari za mvua za vuli ambazo zimeanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini.
Mvua hizo zimeanza kuonesha madhara kwa wananchi kutokana na kupuuzia agizo la mamlaka husika.
Dr Ladslaus Chang’a ni Mkurugenzi wa Utafiti wa masuala ya hali ya hewa,ambae anasema mvua hizi kwa mujibu wa rekodi za mamlaka ya hali ya hewa zimekuwa zikijirudia katika mwezi novemba kama ilivyotokea Novemba...
5 years ago
Michuzi
Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA

HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...
5 years ago
MichuziMAKALA: Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.

Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...
5 years ago
Michuzi
TMA yatoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu wa Mvua za Masika

HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA )imetoa utabir wake wa Mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...
10 years ago
GPL16 Sep
10 years ago
Michuzi
TUME YAWAASA WANANCHI KUTOSIMAMA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva alipokuwa akifungua mkutano wa tume na waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi na makamanda...
5 years ago
Michuzi
TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.
Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.
Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...