Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TNBC na mtandao wake kila mkoa

KATIKA kuhakikisha haibaki nyuma kwenye suala la uwekezaji, Tanzania imekuwa ikijitahidi kuhakikisha kuwa mazingira ya biashara yanaboreshwa katika viwango vinavyotakiwa. Moja ya juhudi hizo ni kuanzisha mabaraza ya biashara ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chaumma waahidi viwanda kila mkoa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chaumma, Hashim Rungwe amesema Sera za chama hicho ni kujenga viwanda katika kila mkoa ili kupunguza tatizo la ajira.

 

5 years ago

Michuzi

OFISI ZA ARDHI ZAANZA RASMI KILA MKOA


Watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya Ardhi ya mkoa wa Katavi wakiwa wamesimama katika Bango la kutambulisha ofisi ya mkoa huo.
Watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya Ardhi ya mkoa wa Tanga wakiwa wamesimama katika Bango la kutambulisha ofisi ya mkoa huo.
Watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya Ardhi ya mkoa wa Njombe wakiwa wamesimama katika Bango la kutambulisha ofisi ya mkoa huo.
Watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya Ardhi ya mkoa wa Iringa wakiwa wamesimama katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitajenga hospitali za rufaa kila mkoa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli ameahidi kujenga hospitali za rufaa kila mkoa iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MKOA WA IRINGA YAPONGEZA MTANDAO WA MATUKIODAIMA KWA KUHAMASISHA AMANI

Mkurugenzi na  mmiliki wa mitandao(BLOGU)  ya   www.matukiodaima.co.tz Bw  Francis Godwin  akimkabidhi mkuu  wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza stecker za kubandika katika magari na maeneo mbali mbali zinazohamasisha amani kuelekea  uchaguzi  mkuu utakaofanyika Octoba 25  mwaka  huuKamanda  wa  polisi  wa  mkoa wa Iringa Ramadhan  Mungi akionyesha sticker za  kuhamasisha amani na  utulivu nchini kuelekea  uchaguzi  mkuu zinazotolewa na mtandao  wa www.matukiodaima.co.tz kwa mkoa wa Iringa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika yajifungulia mtandao wake wa Afrileaks

Mtandao mpya mfano ule wa Wiki Leaks , unaolenga kutangaza visa vya ufisadi umezinduliwa barani Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lawanasa watu 11 wanaendesha utapeli kwa njia ya Mtandao

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 11 kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Watuhumiwa hao walikuwa wakitumia majina ya watu katika akaunti zao kwa njia ya kujipatia fedha.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya   Ulrich Matei amesema kuwa watuhumiwa walikuwa wanajihusisha na  wizi kwa kutumia majina ya viongozi na wasanii kwa kusambaza ujumbe wa kuomba fedha kwa watu wengine wenye mahusiano ya viongozi na wasanii.

Wanaoshikiliwa na Jeshi hilo...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUNGUA MRADI WA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI MWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajaub Rutengwe (mwenye suti katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa UNHCR na Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mara baada ya kufungua mradi wa kusoma masomo kwa njia ya mtandao katika Sekondari ya Katumba,Mkoani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani