TOTAL TANZANIA YAZINDUA SHINDANO LA “STARTUPPER OF THE YEAR BY TOTALâ€
![](http://4.bp.blogspot.com/-kPY0h8AmZWs/VkCVy6N2yaI/AAAAAAAAmRc/iARdKu0zJ7M/s72-c/a.jpg)
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Total Tanzania, Mhe. Marsha Kilewo, akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kutangaza kuzinduliwa kwa shindano la “Startupper of the year by Total” ambalo litashirikisha vijana wenye mawazo ya kibiashara na kuweza kushinda hadi sh milioni 35.
KAMPUNI ya Total ya Tanzania, imezindua Shindano la Total «Startupper of the year by Total», lililobuniwa na kundi la Makampuni ya Total litakaloshirikisha nchi 34 za Afrika kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTOTAL YAZINDUA AWANGO KUMALIZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA UMEME KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI TANZANIA
11 years ago
MichuziWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII
10 years ago
TheCitizen09 Mar
SINGLE IN THE CITY: How we in Tanzania live in total gloom
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ce8b39N3V5E/VNTe_He-w-I/AAAAAAAHCP4/6Kxvq2YDDo4/s72-c/unnameds1.jpg)
SAFARI LAGER YAZINDUA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA KWA BAR MBALI MBALI NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ce8b39N3V5E/VNTe_He-w-I/AAAAAAAHCP4/6Kxvq2YDDo4/s1600/unnameds1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VxjBrg-uuio/VNTe_DeU_QI/AAAAAAAHCP8/nj4gvbEU_uE/s1600/unnameds2.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bARvaVCmH-0/VfABeeEHq_I/AAAAAAAH3iA/TmiGs0m7708/s72-c/IMG-20150901-WA0020.jpg)
TOTAL TANZANIA YADHAMINI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA SHULE 10 ZA MSINGI JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-bARvaVCmH-0/VfABeeEHq_I/AAAAAAAH3iA/TmiGs0m7708/s640/IMG-20150901-WA0020.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0otNurSi4ZY/VfABeSGeAmI/AAAAAAAH3h8/tSEy1sINCGA/s640/IMG-20150831-WA0020.jpg)
Na Tom Bishop. KAMPUNI ya Mafuta ya Tatal Tanzania imedhamini mafunzo ya usalama barabarani kwa shule za msingi 10 jijini Dar es Salaam. Udhamini wa mafunzo hayo yamegharimu kiasi cha Dola za Kimarekani 20,000 kupeleka kwenye mradi wake wa elimu ya usalama...
11 years ago
GPLWIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8D4-dR0q4WU/VdGqcvBGg_I/AAAAAAAHxvM/MR0aw0-s-Us/s72-c/download.jpeg)
BASATA YALIFUNGULIA SHINDANO LA MISS TANZANIA
![](file:///C:/Users/user/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image003.gif)
![](http://1.bp.blogspot.com/-8D4-dR0q4WU/VdGqcvBGg_I/AAAAAAAHxvM/MR0aw0-s-Us/s640/download.jpeg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu, kuomba radhi na kuyafanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.
Itakumbukwa kuwa mnano tarehe 22/12/2014 BASATA liliwaandikia barua LINO International Agency Limited ya kulisimamisha shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili (Mwaka 2015 na 2016)...
10 years ago
Michuzi17 Aug
Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...