TPA yasisitiza matumizi ya mfumo wa Kiiletroniki kwa wadau wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-_B7JJNs7bf0/Vb3v0joFOSI/AAAAAAAHtPk/LAACKuCuRi0/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Watumiaji wa Bandari ya Dar es Salaam wametakiwa kuongeza kasi ya utumiaji wa mifumo wa kiiletroniki kulipia huduma zinazotolewa na mamlaka hiyo ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuondoa usheleweshaji wa uondoaji wa mizigo. Kaimu Meneja Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga amesema matumizi sahihi ya njia za kielektroniki yatasaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa kazi katika bandari hiyo. Akiongeana na waandishi wa habari baada mkutano kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa bandari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/GreO8RvjRSs/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EVDVjH1WAyw/XrLnZS_At-I/AAAAAAALpUA/4K4qltqZ7OIQik1VHFlYeovipW6YuE2-gCLcBGAsYHQ/s72-c/7200415e-3879-47dc-ac91-e70f567937f0-768x465.jpg)
SERIKALI YASHUKURU WADAU KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA ‘YASISITIZA UBORA NA USALAMA WA VIFAA VINAVYOTOLEWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-EVDVjH1WAyw/XrLnZS_At-I/AAAAAAALpUA/4K4qltqZ7OIQik1VHFlYeovipW6YuE2-gCLcBGAsYHQ/s640/7200415e-3879-47dc-ac91-e70f567937f0-768x465.jpg)
Waziri Ummy Mwalimu akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na vifaa kinga kutoka Anglogold Ashanti pamoja na Geita Gold Mining Limited(GGML)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/eeca8153-a54e-4735-acea-268b004dcb66-1024x643.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/321b26ad-1fab-4f66-8eec-cd54f7588812-1024x683.jpg)
Baadhi ya watumishi wa Shirika la Maendeleo la Petrol Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
TPSF yasisitiza matumizi ya Tehama
TANZANIA imeshauriwa kujikita zaidi katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuimarisha utendaji wa biashara hasa mipakani. Imesemekana pamoja na kuwepo kwa mifumo mingi inayoweza kusaidia kuongeza...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LQF_AnDlAkQ/VOYTPzihe0I/AAAAAAAHEmw/4T8Qy0s3cdo/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LQF_AnDlAkQ/VOYTPzihe0I/AAAAAAAHEmw/4T8Qy0s3cdo/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-27x6KcTgjRg/VOYTPCei3wI/AAAAAAAHEms/TEZMvGCtRpk/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gFubjzDw5Xg/Xk_jUGanFzI/AAAAAAALesU/yHUPLq7wlh0DDYM5EBg5AavvKaHueFn2QCLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.
Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.
Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Serikali yasisitiza matumizi ya takwimu sahihi
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini.
Na Aron Msigwa
SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9FDYYUVJyPY/VCVtHhnnAgI/AAAAAAAGl_U/_aQCc-QcOwk/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
NBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZA (DATA BASE) YA TAKWIMU ZA KILIMO
![](http://2.bp.blogspot.com/-9FDYYUVJyPY/VCVtHhnnAgI/AAAAAAAGl_U/_aQCc-QcOwk/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OT-pK-wTY_Q/VCVtHwCctdI/AAAAAAAGl_g/-lriWbUDRyQ/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mClk6LlNRytRPC1UnR-6DIjjFcUluCX9lyG-v00ccuj6lf82YSoREKcZ-NXeD1hVuIE3lrzyElV6gfry0R4F9syGBSSF7r7r/Photo1.jpg)
NBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZI (DATA BASE) YA TAKWIMU ZA KILIMO
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Serikali yasisitiza matumizi ya ya vyeti halisi wakati wa uombaji wa kazi Sekretariati ya Ajira
Naibu Katibu Kitengo cha Udhibiti na Ubora toka Ofisi ya Rais, Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Humphrey Mniachi akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani)Jinsi wanavyoshirikiana na Vyombo vingine serikalini katika Mchakato wa Ajira,wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi Hiyo Bi. Riziki Abraham.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Ofisi ya Rais, Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Riziki...