TPA YAWAWEZESHA WAANDISHI WA HABARI WANAOPAMBANA NA UJANGILI
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa shilingi milioni mbili kwa Taasisi ya Habari Development Association kwa ajili kuandaa mafunzo ya kuwawezesha waandishi wa habari kujenga weledi wa kufanya tafiti na kuandika habari za kupambana na ujangili.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Awadh Massawe alikabidhi hundi ya thamani ya fedha hizo kwa Mkurugeni wa taasisi hiyo, Bw. Kunze Mswanyama jana jijini Dar es Salaam.
“Tunaunga mkono juhudi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
TPA yatoa shilingi milioni mbili kusaidia wanahabari wanaopambana na ujangili nchini
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe akizungumza na wanahabari wakati akikabidhi hundi ya sh.milioni mbili kwa Taasisi ya Habari Development Association Dar es Salaam jana asubuhi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi ya sh.milioni mbili kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Habari Development Association (HDA), Kunze Mswanyama (kulia), Dar es Salaam jana...
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (PTA), YATOA SHILINGI MILIONI MBILI KUSAIDIA WANAHABARI WANAOPAMBANA NA UJANGILI NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s72-c/2.jpg)
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fa5_n9_MOso/VbjFqqe6J3I/AAAAAAAC9DU/P_FbShviPM0/s640/3.jpg)
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...
9 years ago
StarTV04 Dec
Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta
Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.
Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/IbsHjlT0tFc/default.jpg)
9 years ago
MichuziWAANDISHI HABARI WA ZANZIBAR WAPATIWA MBINU BORA ZA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI MKUU.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xESQbmuxWTA/XtYDuk9aurI/AAAAAAALsSY/s8_Z-3oytzQUZ8YaBz3PaZU6YQn0yhsDQCLcBGAsYHQ/s72-c/16513870_101.jpg)
JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.
Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...
9 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TANO YA JINSI YA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI