Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC YAANZA UTAFITI TANGA

Mkurungezi wa Utafiti Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. Emma Msaky, akizungumza na wataalam wanao endelea na uchimbaji wa visima vifupi katika Mradi Ujulikanao kama MP 10 GOMBERO DRILLING PROJECT kwa ajili wa utafiti wa mafuta na gesi kijiji cha Jihirini, wilayni Mkinga mkoani Tanga. Mkurungezi wa Utafiti Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. Emma Msaky, akionyesha sampuli za utafiti mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Mradi wa utafiti wa mafuta na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi

SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.

 

11 years ago

Michuzi

MAGEREZA MKOA WA TANGA YAANZA MAANDALIZI YA UKARABATI WA OFISI MPYA ZA UTAWALA, JIJINI TANGA

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga, Naibu Kamishna wa Magereza Edither Malya(wa pili kulia) akielezea hatua mbalimbali za Maandalizi ya ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za Magereza Mkoa wa Tanga(wa kwanza kulia) ni Afisa Habari wa Jeshi la Magereza, Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja alipotembelea kujionea hatua mbalimbali za ukarabati unaoendelea leo Februari 7, 2014 Jijini Tanga. Muonekano wa mbele wa Jengo la Kikoloni ambalo linalotarajiwa kukarabatiwa kwa ajili ya Ofisi za...

 

9 years ago

Habarileo

TPDC kuanza utafiti mafuta, gesi wiki hii

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wiki hii litaanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi nchini kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC kuendesha utafiti wa mafuta na gesi kwa ndege

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza na waandishi wa habari (hapo pichani) kuhusu ujio wa ndege ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia kwa kutumia ndege katika Kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini, Mkurugenzi wa undelezaji wa mafuta na gesi asilia Dkt. Wellngton Hudson (kulia) mkutano huo ulifanyika makao makuu ya TPDC mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC YAANZA KUZALISHA GESI YA KWANZA HUKO MNAZI BAY, MTWARA

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na kampuni za Maurel and Prom na Wentworth Resources, leo hii wameendelea na zoezi nyeti la kutoa gesi asilia katika kisima namba 3 kilichopo Mnazi Bay (MB3) kwenda katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba, Mtwara. 
Zoezi hili ni muendelezo wa ukamilishaji wa mradi mkubwa wa Serikali wa kuzalisha gesi asilia kwa madhumuni ya kuzalisha umeme hapa nchini.
Akiongea wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Repoa yaanza utafiti wa gesi

TAASISI ya Utafiti na Kupunguza Umaskini nchini (Repoa) imeanza utafiti wa miaka mitano kuhusu rasilimali ya gesi na faida zake kwa uchumi wa Tanzania. Utafiti huo unashirikisha wataalam kutoka Norway...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yaanza kuendeleza uwanja wake Tanga

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, amesema wameanza rasmi mchakato wa kuendeleza uwanja wake uliopo eneo la Mnyanjani jijini Tanga, ambapo upimaji udongo sahihi unafanyika. Kwa mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani