TPDC yasaidia wajasiriamali wanawake
WIZARA ya Nishati na Madini kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limetoa msaada wa majiko ya gesi 25 na mitungi yake yenye thamani ya sh milioni 8.7 kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 May
PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).
Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...
10 years ago
VijimamboPSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziWANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CRDB yasaidia wanawake Bukoba
BENKI ya CRDB katika Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imetoa msaada wa mashuka 50 na miche ya sabuni, kwa wanawake waliolazwa kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya mkoani hapa....
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Airtel yasaidia wanawake wenye kansa
UMOJA wa wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania unaofahamika kwa jina la ‘Airtel Divas’ wameandaa hafla ya kuchangisha fedha ili kusaidia kinamama wanaosumbuliwa na maradhi ya kansa katika Hospitali ya Ocean...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Airtel Divas yasaidia wanawake walemavu
UMOJA wa Wafanyakazi Wanawake wa Kampuni ya Airtel (Airtel Divas) umejitoa kusaidia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (Swauta) kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam. Wafanyakazi hao wa Airtel...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Munde kuwainua kiuchumi wanawake wajasiriamali
MAFANIKIO ya kiuchumi katika suala la kijinsia hutokana na kuwepo kwa elimu ya kujikomboa kwa wanawake na wanaume. Mbunge wa Viti Maalumu Tabora, Munde Tambwe, ni miongoni mwa viongozi wenye...
10 years ago
Mwananchi27 Jul
‘Wanawake wajasiriamali litumieni soko la EAC’
11 years ago
Habarileo06 Jul
Wanawake wajasiriamali wamvutia Mama Salma
MKE wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete juzi alitembelea Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' na kueleza kuwa amefurahishwa na juhudi zinazofanywa na wajasiriamali hasa wanawake.