Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPSF: Watanzania fanyeni biashara na UN

TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imehamasisha jumuiya ya wafanyabiashara nchini kuchangamkia fursa za biashara katika Umoja wa Mataifa (UN). Wito huo ulitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania changamkieni shindano kilimo cha biashara’

WATANZANIA wenye mawazo ya biashara katika sekta ya kilimo wamehamasishwa  kushiriki shindano la awamu ya tatu ya dirisha la ufadhili wa kilimo cha biashara  kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashara, DITF

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE Bibi Jaqueline Mneney Maleko akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara ya Nje wa TANTRADE, Bibi. Anna Bulondo.
Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi Mmoja wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania washauri kupata elimu ya kuendesha biashara

DSC08515

Mwenyekiti wa klabu ya wafanyabiashara wa NMB tawi la Singida,Kyoma (katikati) akifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa kwenye semina yao ya siku moja.Wa kwanza kulia ni katibu wa klabu hiyo,Welu Ntandu na kushoto ni makamu mwenyekiti,Elizabeth Masawe.

DSC08517

Meneja Mahusiano na Biashara wa makao makuu NMB jijini Dar-es-salaam, Dickson Mpangarawe (wa kwanza kushoto),akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa kwenye semina ya siku moja iliyohudhuriwa na wananchama wa klabu ya wafanyabiashara wa tawi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Lango la biashara Falme za Kiarabu, ni fursa ya Watanzania kukuza uchumi

Ukuzaji fursa za Kiuchumi Afrika (Agoa), ni mpango ulioanzishwa kwa minajili ya kuziwezesha nchi za Afrika kuuza bidhaa zao Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF

Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni zaidi ya kimataifa toka nchi yatashiriki.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE, Bibi  Jaqueline Mneney Maleko wakati akizungumzia maandalizi ya Maonyesho ya 38  Kimataifa ya Dar es Salaam,  kwa waandishi wa Habari, ofisi za TANTRADE...

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana kumekucha fanyeni kazi

Vijana kumesha kucha, juhudi kujitilia, Tulikwenda kutwa kucha, leo tumejipatia, Palikuwa hapajacha, majuto  yalitwingia, Vijana kumesha kucha, sasa tufanyeni kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Rungwe fanyeni uchaguzi sahihi’

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) wilayani hapa, Bupe Mpagate amewataka wananchi wa wilaya hiyo hususan wanawake kuitosa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na badala yake waichague Chadema ili waweze kupigania haki zao kwa vitendo na si vinginevyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani