TRA yazuia waandishi kuonana na waziri
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Ofisa Habari wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) aliyetambulika kwa jina la Rebecca, aliwazuia waandishi wa habari kuonana na Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
TRA yazuia gari la Naibu Waziri
Adaiwa kukwepa kulipa kodi kwa miaka miwili
Na Latifa Ganzel, Morogoro
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata gari la Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, kwa tuhuma za ukwepaji kodi.
Habari za kuaminika na zilizothibitishwa na Meneja wa TRA Wilaya ya Mvomero, Hemed Leso, zimesema kuwa Makalla anadaiwa kodi ya leseni ya barabara ya sh. 662,500.
Imeelezwa kuwa gari hilo aina ya Toyota Dyna lenye namba T534 BFP, lilikamatwa wakati wa operesheni ya kuwasaka wakwepa kodi iliyoendeshwa na maofisa...
9 years ago
StarTV28 Nov
Waziri mkuu awasimamisha kazi vigogo wa TRA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa nchini Tiagi Masamaki na Habibu Mponezya wa kituo cha huduma kwa wateja na kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuhakikisha wote wanakamatwa.
Wengine ni Eliachi Mrema Msimamizi mkuu wa Bandari kavu Dar Es Salaam, Haruni Mpande wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Hamisi Omar ambapo watumishi wengine Nsajigwa Mwandegele, Robert Nyoni na Anengisye Mtafya...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Naibu waziri atoa siku 14 kwa TRA
11 years ago
Habarileo09 May
JK afanya uteuzi TRA, azungumza na Waziri Mkuu wa China
RAIS Jakaya Kikwete amemteua, Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Waziri Mkuu awasimamisha kazi watumishi wengine watatu TRA
9 years ago
Michuzi
9 years ago
Michuzi
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)



10 years ago
Dewji Blog07 May
Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...