Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRENI YA KASI KWENDA KIGOMA YAZINDULIWA, ITATUMIA MASAA 6 PUNGUFU YA ILE YA ZAMANI "KUTUA MWISHO WA RELI"

Treni mpya ya abiria yenye kufanya safari zake kati ya Dar es Salaam na mikoa ya Kigoma na Mwanza, ikiwa kwenye kituo kikuu cha reli (TRL), jijini Dar es Salaam leo Jumatano Aprili 1, 2015. Treni hiyo iliyopewa jina "Deluxe Coach" imezindua safari yake ya kwanza leo Aprili mosi, kuelekea Kigoma, ikiwa na mabehewa mapya yaliyoagizwa na serikali hivi karibuni. Injini zilizokarabatiwa na wamalaysia, zimeonekama kama mpya na sasa treni hiyo itakuwa ikisafiri kila Jumapili saa 2 usiku ikitumia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIGOMA MWISHO WA RELI

Mdau Hassan aliopo safarini Mkoani Kigoma,ametuletea taswira hii aliyoidaka leo alipotembelea eneo la mwisho wa Reli mkoani Kigoma.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

10 years ago

Habarileo

Treni iendayo kasi kwenda Bara kuanza Aprili

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza nauli ya treni mpya ya Deluxe, zilizoidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), zitakazoanza kutumika mapema Aprili, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

SAFARI YA TRENI YA DELUXE KWENDA KIGOMA YAAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU

Uongozi  wa Kampuni ya Reli  Tanzania  (TRL) unasikitika kuwataarifu abiria  wa treni ya Deluxe ya kwenda  Kigoma leo Mei 17, 2015 saa 2 usiku kuwa safari hiyo imeahirishwa  hadi kesho Jumatatu Mei 18, 2015 saa 2 usiku. Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa  zinatokana na ajali mbili mfululizo za treni za mizigo. Ajali ya kwanza ilitokea asubuhi saa 1:30 maeneo ya Stesheni ya Ngeta mkoa wa Pwani na...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE KWENDA KIGOMA YAAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

Uongozi  wa Kampuni ya Reli  Tanzania  (TRL ) unasikitika kuwataarifu abiria  wa treni ya Deluxe ya kwenda  Kigoma leo Mei 17, 2015 saa 2 usiku kuwa safari hiyo imeahirishwa  hadi kesho Jumatatu Mei 18, 2015 saa 2 usiku. 
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa  zinatokana na ajali mbili mfululizo za treni za mizigo.
Ajali ya kwanza ilitokea asubuhi saa 1:30 maeneo ya Stesheni ya Ngeta mkoa wa Pwani na ya pili saa 5 asubuhi maeneo ya Stesheni  za Kinguruwila  na Morogoro!
Ajali hizo...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwili wa Mama yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma

MAMA1

Zitto Kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

mama4

Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe.

MAMA2

Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi.

MAMA3

Prof. Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani