TUIBEZE CHADEMA AU TUKUMBATIE MAFISADI?
![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzlAIxeWNpu060dRTYl*9w7moAGqxISbmQFwNNE*1HuTJsBCqEXh3YpLkwkk3UGTnmzAv8wFdw9bTqQ382GU3ww5/ChademaMotoClip.jpg?width=650)
Viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. MWAKA 2008 niliandika makala kuhusu hali halisi ya mwenendo wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Bihalamulo. Makala hayo yalisababisha tafrani kati yangu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Uhusiano wangu na baadhi ya viongozi wa chama hicho, hasa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee uliyumba. Uliyumba si kwa sababu nilichoandika hakikuwa sahihi bali ni kawaida ya wanasiasa kutopenda...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Winga mafisadi
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Watumishi mafisadi kitanzini
Serikali yaibuka na mwongozo mpya Tume ya Maadili yapewa meno makali
NA WILLIAM SHECHAMBO
SERIKALI imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo sasa.
Kwa sasa sheria na...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
CCM: chama cha mafisadi
UFISADI umeenea nchi nzima! Kwa kila wizara, idara, wakala na taasisi za serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuna ufisadi kwa jinsi yake. Pale tunapotaja ufisadi kwa CCM na...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Kinana akerwa mafisadi kulindwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea watu wanaotumia siasa kama kichaka cha kuficha dhambi zao kwa kufanya ufisadi, lakini wanapobainika, hujitetea kwa kusema wanafanyiwa hivyo kutokana na siasa.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Mchakato mahakama ya mafisadi waanza
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mafisadi waanza kujadiliwa China
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kutokana na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa.
Alisema kutokana na yeye kutokutumia fedha katika mchakato wa kuwania kuteuliwa na CCM, kwa kuhonga au kutoa rushwa, baadhi ya watu ndani ya CCM wamekimbia.
"Watu waliotoa pesa walipoona nimechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe," alisema.
Akizungumza kwa...